Diamond Platnumz badili mwenendo before it’s too late!

Mafanikio, utajiri na umaarufu ndani na nje ya mipaka ya Tz imejenga chuki kubwa sana kwa mahasimu wake.

Huyo Mange na washirika wake kama Ali kiba, Harmonize, Hamisa wote wameungana kuichafua brand ya Diamond hili wajikuze wao. Mfano katika kila dongo la Mange kwa Diamond utakuta kuna mstari unasema, " wewe huna lolote umemzd Harmonize kimuziki tu hila Harmonize ana dude kubwa kuliko ww".
Mfano mwingine Harmonize na Hamisa wakaungana wakidhani wanamkomoa Diamond, shida ikaja mzee wa opportunity akatembea na kiki ya hamisa, sasa hv hamisa anajuta kwann alikutana.

Sasa madai yako khsu madawa ya kulevya mbona side effects hazionekani? Ata kuja mtu na akili ndogo ata akwambia sasa hv Diamond hapendezi, anasuk rasta, anaimba matusi hawezi tena kutunga. Hoja ambazo zinadhihirisha udogo wa akili zao, Diamond sio tena msanii wa Tz tu.

Wasanii wote waliobaki wanaimba kwa ajili ya Tz tu ila sio Diamond maana anasikilizwa takriban Africa nzima.
Harmonize, Ali kiba, Rayvanny hawa wote label zimewashinda, sasa kwann wasinenepe?

Rejea majukumu ya Diamond km mkurugenzi na mwanamuziki, vp hayo majukumu ukiwapa Harmonize, Ali au Mange wataweza au hivyo vitu vitakufa. Diamond shows zake tu km za wasafi anapanda kuanzia saa 9 usiku, bado anakuwa na energy ya kutosha mwanzo mwisho je harmonize, Ali au Ray wanaweza hivyo? Safari zake jumlisha shows na majukumu yake, mfano mikakati ya kutengeneza mastaa km Zuchu na akatamba Africa, je kuna msanii anaweza hilo zaidi ya Diamond?

Kazi na majukumu yake km mkurugenzi wa WCB na wasafi media ndivyo vinamkondesha Diamond mengine hayo ni chuki tu. Duniani hakuna kazi ngumu km kusimamisha biashara na ukipima ss hv Diamond ni billionaire kwa kibongo je tunajua ni nguvu na akili kiasi gani amewekeza kufika hapo? Ukitaka kujua hilo kawaulize wafanya biashara mfano wa kariakoo ni ngumu kiasi gani kusimamisha biashara na kujenga jina kwenye biashara?

Na pia ujiulize kwann Tanzania hii, Diamond ndio ambassador pekee wa kampuni tofauti tofauti na wengine ni ma influencer tu ( tofauti ya ambassador na influencer) hapo ndio utajua jamaa anatumia akili kiasi gani kuwa hapo
 
Huyu ofsa tulikuja kuwaambia anakula kitu ilianzaga huko Huston Texas on the 60’s ila ikaja kuwa famous on the 90’s after the rappers walivyo anza kuipa promo inaitwa Lean watu walibisha, sasa basi Lean ina majina mengi sana mengine ni kama purple drank, sizzurp, syrup ,barre, big redd, wock, wok, Memphis mud, dirty sprite, purp, drank and Texas tea, na hii kitu ni mchananyiko wa cough syrup, soda, hard candy, and sometimes alcohol.
Hii kinywaji ina codeine and promethazine, inayopatikana kwenye dawa za kifua zenye Promethazine hydrochloride and Codeine Phosphate . Yan hii kitu ukiinywa kwa wingi unasizi ile mbaya alafu unakuwa unalean kama mateja ndio mana inatwa lean.



Sasa basi sio mbaya hii kinywaji ukaiita Liquid Heroin( nadhan wote tunajua heroin ni nini ) sababu Codeine phosphate hemihydrate inapatika kwenye opium, na opium si inajulikana pia huwa inatengeneza heroin….
Kama kuna kipindi Wayne alipataga seizure akalazwa nusu aondoke basi chanzo ni kale kakikombe chake cha texas tea anakotembeaga nako kila anapokwenda. Anyways ukiporomoka hapo Zim alafu ukakatiza mitaa ya Harare mateja wengi ni wa dawa hii ya mafua sababu ni cheap na ina stimu balaa, na kuna nchi wameipiga marufuku kabisa sababu vijana wanapotea sanaaaaaa……
People from his inner circle please talk some senses to this guy, mimi sio mtu wake wa karibu but this MF HAS WORKED HARD TO BE WHERE HE IS RIGHT NOW…. I AM DONE,

Nimeweka picha za dawa za mafua zenye hiyo makitu, hiyo broncheer ndio inayowauwa vijana wa ZIM…

Working late from home, on the background ZAYN- let me be (Icarus Falls)
 

Attachments

  • 6A130FA4-3A08-4449-B185-5D0401F3ECE2.jpeg
    27.4 KB · Views: 4
  • EC3BE9BA-3648-4574-B54C-99F88F34D29C.jpeg
    25.3 KB · Views: 7
  • EFF9053B-18D2-4952-88CA-939AF1BAE5BB.jpeg
    34.9 KB · Views: 7
Kwamba diamond ana majukumu kumshinda Elon musk au Zuckerberg? Kwamba siku hizi ukiwa na majukumu mengi ndio unachakaa?


Muda ni mwalimu mzuri sana. Hata chid benzi kipindi anaanza poda zilianza tetesi hivi hivi. Hata q chief zilianza tetesi. Na zote zilipingwa ila Leo tunajua wote ni mateja.


Bila kusahau ray C na lord eyes.




Muda ni mwalimu mzuri kama kweli anatumia au hatumii.


Uzi utakuja kufunuliwa

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
My brother whats good ? I, personally understand Nasibu is a hustler and he has toiled to be where he is right now KUDOS TO HIM , but then if this dude is a take some of some additives, it won’t take long until everything will be revealed, somebody needs to school this dude on drugs and drug abuse, remember huyu mwamba hakusoma shule….
 
wewe sio Baba ake wala sio mama ake.?
Babaake kamkana mazima wakiongozana na Mamaake kumkataa na wakasingizia Baba mwingine kabisa na akapewa na kaka fake eti ndo walizaliwa pamoja.
Kilio cha yule Mzee hakitawaacha salama.
Mama anaendelea kubashiwa huku mtoto analipa,
Mtoto nae ndo hivyo,hao wapambe wamejaa wanampa kichwa watakimbia kama mende hali ikishuka
 
Too shit the guy is real hustler back then .

Kuishi cleanest lifestyle sio Rahisi nachojua chibu
Anavuta
Anakunywa Alcohol
And some shit stuffs
Ila hapo on top Hakuna wakumtoa
 
Umetimiza wajibu wako kama katiba ya nchi inavyosema,yakitokea ndo watafukua nyuzi kama hizi na kusema "yalisemwa haya".waliojirani wamshauri huyu dogo,mabadiliko physically yanaonekana
Nakumbuka hata kipindi zinaanza tetesi za chid benz kubwia unga …bado wengi tulikuwa hatuwezi kuamini halafu jamaa alikuwa anatoa hit kila mara na ana mwili kweli kweli na wengi tulikuwa tunasema ni wivu tuu lakini baada ya muda kila mtu amekuwa shahidi!
 
Huyu jamaa nimemuona mara mwisho this October mwanzon ni kweli amechange kbs

Uzur WA zembe kila unapokula linazd kunoga.
 
Whitney Houston Hadi anakufa alikuwa na utajiri wa Dola milion 20 Hela ninayoamini hata diamond Hana. Ila alikuwa Teja na unga ukamuondoa.


Unadhani Whitney Houston alikuwa anakosa unga mweupe?

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
Chochote ukizidisha kina madhara. Hata maji yana madhara. Zingatia vipimo.
 
Exposure aliyonayo Diamond kupitia mafanikio yake kimuziki na biashara shule yako ata Mara 10,000 haingii kwake. Simply Tz hii katika upande wa burudani especially bongo fleva hakuna mtu wa kumkalisha chini Diamond et amfundishe kazi.

It's not easy kuwa pale alipo Diamond na ndio maana tangia Tz imeumbwa hakuna msanii amewahi kufika alipo Diamond bali the music industry ndio inachakujifundisha kupitia Diamond.

Na wote wanamuiga mfano mfupi tu nikupe, nitajie msanii ambaye yupo active katika ukurasa wa Facebook zaidi au Kama Diamond Tz hii hakuna? Msanii akitoka wasafi mfano harmo vyombo vyote vya burudani eg clouds na efm wanamkimbilia unajua kwann? Wasanii wa wasafi wanazalisha sana pesa kupitia digital contents kachek engagement zao.

Diamond anajua how to maintain his status as the best ever East African Artist na anajua hapo America vp anajua zote the do's and don't. 95% ya music industry wa Tz wanakula kupitia Diamond iwe direct au indirect eg Mwijaku kila siku Diamond, Harmo, Hamisa, Mange mwenyewe alisha confess story za Diamond zina pesa sana kuliko ata za serikali, so tunamshusha vp? Tuchafue brand yake ila tuungane.
 
Mapenzi Upofu.....
Haya yako wewe ni Mahaba.
 
Sasa Diamond amechakaa? Em kuwa kiakili nyie ndo huwa mnasema Ommy Dimpoz anajua kuvaa kisa anavaa suti, guys mtu yyte yule akivaa suti anapendeza.

Sasa ww lini umemuona Elon Musk anatumbuiza kwa masaa zaidi ya mawili kwenye tamasha? In terms of development, Elon musk utendaji wake wa kazi una nafuu kubwa kuliko Diamond? Diamond tulimuona yupo kwenye show Mtwara hapo hapo akaenda Zanzibar akarudi tena Mtwara kwenye show, piga picha miundombinu yetu kutoka sehemu moja kwenda nyingine alaf fananisha sasa Elon Musk.

Bado hapo hajarudi kwenye nafasi yake ya ukurugenzi nadhani majukumu ya mkurugenzi unayajua, kampuni isimame na izidi kukuwa je unajua anatumia akili kiasi gani na gharama rudi tena kwenye shows zake. Usimfaninishe na Elon kwassb Elon mazingira yake ya nchi yana mrahisishia kwenye utendaji wake wa kazi kuliko Mond. Ww leo tu mwambie kusaga awe anatumbuiza kwenye matamasha kama akondi yule
 
Mapenzi Upofu.....
Haya yako wewe ni Mahaba.
Utaongea hivyo km hutowaza nje ya boksi, Diamond ni mwanamuziki tena namba 1 na lazima aweke juhudi ya kumaintain hiyo status yake na pia ni mfanyabiashara mkubwa.

Je Harmonize, Ali kiba, Ray kufika tu kimuziki alipo Diamond hawajafika ila licha yao hayo je wanajishughulisha na nn apart from muziki? Diamond lazima ahakikishe pesa yake kwa Mbosso au Zuchu lazima irudi na hapo unakuta kashaweka 200M, kuna siku umewahi kumuona Ibraah au Ali kiba kafanya show Mlimani city? Gharama za kukodi ukumbi unazifahamu? Utavutia vp corporate companies zitie mpunga kwenye hilo tamasha?

Ali kiba angekuwa busy sana sidhani km angekuwa kila siku yupo gym hao wengine wana muda mwingi kuliko Diamond. Wasafi media ndiyo inaongoza kwa kuingiza pesa kupitia digital platforms je unajua inaweza vp kukaa kila siku namba 1? Diamond ndiye msanii namba 1 East Africa yote na ndiye anayeongoza kusikilizwa East Afrika yote, Ali kiba hadi Rose muhando anamkimbiza. Ni bora kuchoka mwili kuliko akili ichoke, ila kwa Diamond anachoka mwili na akili na ndio vinavyomtafuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…