Diamond platnumz hamuwezi kumshusha kwa fitina na chuki..Ripoti kutoka Mtaani Tazama hapa mashabiki wa damu

Diamond platnumz hamuwezi kumshusha kwa fitina na chuki..Ripoti kutoka Mtaani Tazama hapa mashabiki wa damu

Joined
Oct 4, 2016
Posts
49
Reaction score
81



Katika jamii yoyote upendo hujengwa kwa kuanza na misingi

Licha ya kuwa watu mbali mbali hasaa mitandaoni kuibuka na kuungana kwa kuonesha chuki za wazi juu ya msanii Diamond platnamz .Bado wameshindwa kwa maana Diamond tayari alisha jenga misingi na anapendwa na watu wengi


Katika kuthibisha hilo ripoti ya mtaani inaonesha kwanza wimbo wa zilipendwa unapendwa zaidi na kupigwa kuliko nyimbo yoyote tanzania


Mashabiko mbali mbali bila hata promo wameonekana wakiucheza wimbo huo katika style ya comedy zaidi huku wengine wakisimama barbarani wakimtaja diamond na kumpongeza





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu izi

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Diamond mwenyewe kachokoza ugomvi kwenye ule wimbo wa fid q kwa nini mnatafuta pa kufia?

mi sipo kwenye hayo matimu ila alianza kutoa diss diamond nani sasa anaanza kumshusha huo woga amalizane na kiba hiyo thread yako haina maana chanzo cha hayo mambo mnayajua nyie matimu.
 
ndo tujiuilize sasa hafu vijana watalalamika maswal ya interview magumu
Kwanza ni ujinga kabisa kijana kuja JF na kuuliza possible za maswali ya Interview.
Vijana wa Tanzania sijui nani aliyeturoga,yani msomi kabisa unaulizia maswali ya kwenye interview,sasa huko shule ulifuata nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nampenda sana Diamond ni kijana mdogo aliyejaliwa hekima nyingi nashangaa sana yanayoendelea mitandaoni Tatizo kubwa la watanzania wenzangu ni wivu
 
Mkuu mie ninachokiona hapa ni kwamba,Diamond ana mashabiki ila Alli Kiba ana wafuasi
 
Tatizo yeyote atakaye kuwa bora itasemwa anamshusha huyo Naseeb kila mtu ana fungu lake apambane kulichukua.......habari za kushushwa ni uoga nafasi zinazolazimisha mtu kuwa mmoja na mwingine akitaka kuifikia lazima amshushe mwingine ni Urais wa nchi na Uwaziri mkuu na sehemu nyingine zitakazo mtu mmoja pekee kwa kipindi fulani huko kwenye muziki tuwaache watu watafute mafungu waliowekewa
 
Nampenda sana Diamond ni kijana mdogo aliyejaliwa hekima nyingi nashangaa sana yanayoendelea mitandaoni Tatizo kubwa la watanzania wenzangu ni wivu
Unaijua Hekima au ndio kupenda upofu

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Tulipofikia hapa inabidi izi timu zimiliki bunduki tu

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
IMG_20170831_130354.jpg
 
Back
Top Bottom