Diamond Platnumz hana pesa, japo anapata pesa

The Wolf

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
9,412
Reaction score
20,685
Shows nyingi anazofanya platnumz zinamuingizia kipato kikubwa sana ukijumlisha na mapato mengine ya shughuli zake za kibalozi, lakini ni dhahiri hana pesa anayotamba anayo Na wala hatakuja kuwa nayo kama asipobadilika mapema kwa sababu ya

1. Timu kubwa sana aliyonayo, zaidi ya watu 20 wanamuangalia kwa ajili ya malipo pale anapopiga show kama vile Romy, babu tale, dancers, Cameraman, make up artist, baunsa, wapambe

2. Kodi anayomlipa kusaga na mwenzake ruge

3. Starehe na manunuzi ya ovyo ovyo

4. Kugharamia wema na wenzake

Na mengineyo, ivi huwa analipa income tax TRA kweli?Hizo bilioni so angekuwa kashakarabati nyumba zake mbili?
 
Dah mzazi wako naye huwa anasema nina mtoto?
Domo kwa kifupi wale watu wake wakaribu wanadai yule dogo ana hela vibaya ana bodaboda kibao tax zaidi ya 10 zinazopiga kazi Dar ila zile mishe zinapingwa chini ya carpet hataki kujianika kihivyo dizain ya vile unavyotaka
 
Ila kwa muono wangu Jamaa ametoa angalizo zuri kwa Diamond, kama maneno yake yatachukuliwa kama somo mleta mada anastahili kushukuriwa.
Nilikuwa South Africa wakati wa Tuzo Za MTV Base, niliiona timu kubwa ya Diamond, kweli nilimuonea huruma, maana hata Aunt Ezekiel na Fella walikuwa kwenye timu yake.
Ova.
 
Shows nyingi anazofanya platnumz zinamuingizia kipato kikubwa sana ukijumlisha na mapato mengine ya shughuli zake za kibalozi, lakini ni dhahiri hana pesa anayotamba anayo Na wala hatakuja kuwa nayo kama asipobadilika mapema kwa sababu ya

1. Timu kubwa sana aliyonayo, zaidi ya watu 20 wanamuangalia kwa ajili ya malipo pale anapopiga show kama vile Romy, babu tale, dancers, Cameraman, make up artist, baunsa, wapambe

2. Kodi anayomlipa kusaga na mwenzake ruge

3. Starehe na manunuzi ya ovyo ovyo

4. Kugharamia wema na wenzake

Na mengineyo, ivi huwa analipa income tax TRA kweli?Hizo bilioni so angekuwa kashakarabati nyumba zake mbili?

Kama ungekua jinsia ya KE ningekupa offer ya kukutoa out.. umenena point sana
 
MLETA mada nadhani humjui unayemwongelea mbona hivyo ulivyosema anavyo tena siku nyingi....bwana andika point
 
We ndio umesema kama anavyo kwanini anaishi kwenye nyumba ya kupanga na siyo kwenye nyumba zake mbili alizonunua?mbona hajazikarati mpaka Leo?mbona nyumba yake hiyo mnayoita kijiji imechukua mda sana kukamilika?akilipwa million 10 anabaki na 3 - 4...apunguze team yake
 
Dah mzazi wako naye huwa anasema nina mtoto?
Domo kwa kifupi wale watu wake wakaribu wanadai yule dogo ana hela vibaya ana bodaboda kibao tax zaidi ya 10 zinazopiga kazi Dar ila zile mishe zinapingwa chini ya carpet hataki kujianika kihivyo dizain ya vile unavyotaka

Jina lako linasema yote nna uhakika mzazi wako nae anajisifia kuwa nna mtoto anaitwa GANJA ROLLER, unamjua Huyo unayesema hataki kujianika?za kuambiwa changanya na zako! Sijasema hana hela nimesema hana hela anayosema anayo
 
Last edited by a moderator:
Acha ukweli uzungumzwe Diamond pesa anayo lakini hana pesa ambayo unaweza ukaiita pesa ya kutishia amani.........Tafuta msanii ambaye mwenye maendeleo Uganda au Kenya mfananishe na huyo tunayemuita ana hela hela anayo lakini siyo kiviiiiiile
 
Anafanya kazi bila malengo dogo,asipoufanyia kazi ushauri huu mzuri,atajiunga na bendi ya ccm
 
Dah mzazi wako naye huwa anasema nina mtoto?
Domo kwa kifupi wale watu wake wakaribu wanadai yule dogo ana hela vibaya ana bodaboda kibao tax zaidi ya 10 zinazopiga kazi Dar ila zile mishe zinapingwa chini ya carpet hataki kujianika kihivyo dizain ya vile unavyotaka

Akili yako ya bangi kweli so bodaboda na taxi wewe na ulimbukeni wako umeona ni uwekezaji sio? Unaonekana unatokea tandale ndio maana akili yako mgando
 
Akiwa nazo zake asiwe nazo atajibeba, as long as anajitosheleza na haji kuomba wala kusikia anadaiwa inatosha.. Nani anampa ni Raha zake mwenyewe....
 
Huko ni kukosa kazi diamond hana helaaa ndo manini hayooo duuh embu yudiscus mambo ya msingiii
 
Back
Top Bottom