The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,412
- 20,685
Shows nyingi anazofanya platnumz zinamuingizia kipato kikubwa sana ukijumlisha na mapato mengine ya shughuli zake za kibalozi, lakini ni dhahiri hana pesa anayotamba anayo Na wala hatakuja kuwa nayo kama asipobadilika mapema kwa sababu ya
1. Timu kubwa sana aliyonayo, zaidi ya watu 20 wanamuangalia kwa ajili ya malipo pale anapopiga show kama vile Romy, babu tale, dancers, Cameraman, make up artist, baunsa, wapambe
2. Kodi anayomlipa kusaga na mwenzake ruge
3. Starehe na manunuzi ya ovyo ovyo
4. Kugharamia wema na wenzake
Na mengineyo, ivi huwa analipa income tax TRA kweli?Hizo bilioni so angekuwa kashakarabati nyumba zake mbili?