Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu hata kama ndio fashuuun au sijui kwenda na wakati hii imepitiliza, unasuka MAPEMBE kweli bro! Au ndio externalization ya yale mambo yenu ya freemasonry? Anyways kila mtu na maisha yake. KWANI HII DUNIA NI YETU!?
View attachment 1758836
Kweli Dunia ina mambo....Yani asubuhi yote hii unaanza kusoma upumbavu na unapata ujasiri wa kutoa comment..?Duuuh asubuhi yote hii unaanza kuandika upumbavu?
Kunywa chai kwanza
Wape wape za USO mkuu, unasukaje mabutu.mbona na wewe asubuhi yotee hii unajawa povu, kunywa chai kwanza bas mkuu...
Naona umewahi kukutana na shetani ukaona ana pembe mbili eehTunaweza kuuhusisha na ushetani tukiweka kiimani. [emoji869] Ile ishara ya pembe nbili za shetani
Sasa wale wa maadili wapo wapi? Angekuwa kaelimika mfano mpaka ngazi ya Udhamili (Master's), sidhani kama angefanya hivyo. Hiyo style wanawake wanaiita 'mabutu'.Wakuu hata kama ndio fashuuun au sijui kwenda na wakati hii imepitiliza, unasuka MAPEMBE kweli bro! Au ndio externalization ya yale mambo yenu ya freemasonry? Anyways kila mtu na maisha yake. KWANI HII DUNIA NI YETU!?
View attachment 1758836
Wakati ukihangaika 'Kumnanga' hivi kwa Chuki ( Husuda ) zako za Wivu wa 'Kiuswahili' Mwenzako mpaka sasa huko Benki katika Akaunti yake anaelekea kuwa na Bilioni Nne, ila sina uhakika kama Wewe katika Simu yako na Akaunti yako Benki una hata tu Tsh 10,000/=Wakuu hata kama ndio fashuuun au sijui kwenda na wakati hii imepitiliza, unasuka MAPEMBE kweli bro! Au ndio externalization ya yale mambo yenu ya freemasonry? Anyways kila mtu na maisha yake. KWANI HII DUNIA NI YETU!?
View attachment 1758836
Kwani alishaacha?urembo ukizidi mwisho anakuwa shoga
kwani bwana wewe ile id yako nyingine ina tatizo gani??Wakati ukihangaika 'Kumnanga' hivi kwa Chuki ( Husuda ) zako za Wivu wa 'Kiuswahili' Mwenzako mpaka sasa huko Benki katika Akaunti yake anaelekea kuwa na Bilioni Nne, ila sina uhakika kama Wewe katika Simu yako na Akaunti yako Benki una hata tu Tsh 10,000/=
Sasa kama kumbe unajua Msanii Diamond Platinumz sijui ni Freemason na Mshirikina mno hadi wengine mnasema sijui 'anamtia' na Mama yake Mzazi kwani hawa Freemasons si wapo mkajiunge nao?
Mama zenu si mnao 'tianeni' nao ili nanyi 'mtusue' kama Yeye au 'Utajiri' nanyi hamuutaki? Wapuuzi wakubwa nyie!!
Kuna Vitu 'vinaboa' na havivumiliki pia.
kumbe visu vilikuwepo kitamboWakati wenzie wanashika plots Kariakoo DSM huyu Mzee wng alikuwa busy na haya Mambo View attachment 1758881
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Wekapicha yako tukuone kwanzaWakuu hata kama ndio fashuuun au sijui kwenda na wakati hii imepitiliza, unasuka MAPEMBE kweli bro! Au ndio externalization ya yale mambo yenu ya freemasonry? Anyways kila mtu na maisha yake. KWANI HII DUNIA NI YETU!?
View attachment 1758836
ID yangu nyingine ilikuwa ni ya All - Rounder ambayo nilishatoa Maelezo hapa hapa ya kwanini niliibadilisha na sasa Kujiita Generalist hivi.kwani bwana wewe ile id yako nyingine ina tatizo gani??