Diamond Platnumz hiki nini tena?

Diamond Platnumz hiki nini tena?

Mlolongo

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2019
Posts
3,483
Reaction score
6,257
- Longido moja hiyo....
1675436217781.png


- Halafu huyu mama nilijua atakufa... Badala yake mtoto ndio kachomwa knife...
1675436267751.png


- Kikao cha mirathi kijijini Engikaret Longido...
1675436339811.png


- Kuna wadau wanaponda eti haikutakiwa Tattoo zionekane...
1675436446811.png


- Bodaboda wa Longido, wamepauka vumbi hadi kwenye kope...
1675436575998.png


- Walevi bana....
1675436695949.png


- Pombe sio chai... Bodaboda Longido wanaenda kula mzigo wa bureee...
1675436759589.png


- Jamaa walitaka kula mzigo kweli? Hawaogopi UKIMWI?
1675436898015.png


- "Siku hizi kataradadi... Anadanga... Anakula ndizi kwa maganda..."
1675437059670.png


- Diamond Platnumz hiki nini tena?
1675437236121.png
 
Sasa ageukie kwa movie, ana talent ya uigizaji pia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom