Diamond Platnumz inabidi apewe uwaziri au ukuu wa mkoa, amelifanyia makubwa taifa hili

Mlinga alisema Askari Monument iondolewe iwekwe sanamu ya Diamond, na wewe unasema apewe ukuu wa mkoa. Sikatai Diamond ni entertainer lakini haya mengine sina mengi ya kusema.
Embu nitajie ni waziri gani au mkuu wa mkoa yupi amelifanyia taifa mambo makubwa kuliko Diamond Platnumz.
 
pambana mkuu atakusikia akuajiri wasafi maana hata kifesi alianza hivi hivi
 
Kuna suala la ujuzi katika kupewa uwaziri na hili limetugharimu ukifuatilia vizuri.
Kwani wao kama wasanii hawana chama au umoja wao ambao anaweza kupewa ukatibu huko au hata urais kama Tundu Lissu alivyopewa urais wa TLS!?
 
Napenda kuwa tofauti kwa mtoa uzi huu.

jaribu kufanya kinyume, badala ya kuomba apewe kwa nini asifight akaupata. siasa sio kama upepo wa mziki kuna mengi ya kufanya zaidi ya kuona watu wanaongea kwenye Ma-TV.

Next time jipange na ufikirie vya kutosha. Lete mada za kujenga na sio kupotosha kwa kudhani unaongea cha msingi.

but nakupongeza kwani umefikiria na kutoa maoni yako na no offence at all. Na mimi nilikuwa natoa maoni yangu.

Peace.
 
Kuna suala la ujuzi katika kupewa uwaziri na hili limetugharimu ukifuatilia vizuri.
Kwani wao kama wasanii hawana chama au umoja wao ambao anaweza kupewa ukatibu huko au hata urais kama Tundu Lissu alivyopewa urais wa TLS!?
 
Tutolee ukichaa wako hapa
 
kuna mtu anatafutwa naona bado hajapatikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…