Diamond Platnumz inabidi apewe uwaziri au ukuu wa mkoa, amelifanyia makubwa taifa hili

Daaah..!! Nimechoka kwelikweli....!!

Lakini Mukulu si amezuia mikutano na kampeni za kisiasa...!?

Sawa Mkuu (mleta Uzi) mimi sina cha kusema.

Nadhani Mukulu ama yule Msaidizi wake wataiona hii na kuifanyia kazi.

Ngoja nipite tuu [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 


BILIONI 20?
 
Eti billion 20 ebu acha akili za ajabu
 
Swaadat umenena yoote sasa mchukueni akawe balozi wenu wa nyumba kumi huko kwenu, atawasaidia sana uwe karani wake
 
Kwahyo uwaziri na ukuu wa mkoa ni zawadi?

Haya bana apewe uwaziri wa nishati na madini
 
Jay z kafanya mangapi kule!!! Umeona kuna fala yeyote kaomba jay z apewe uongozi!!!! Aisee hii ngozi nyeusi tunaiaibisha sisi wenyewe2 mbona tuna uwezo wa kufikiri ila2 ndo kama hivi
 
Uwiiiiiiiiii [emoji86] [emoji86] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Yaani ndio umefikiriaaaa hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…