Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #61
Viongozi wa kule wanaleta maendeleo kwa wakati ila kwa hapa TZ bora ya Mondi kuliko viongozi wenye dhamana.Jay z kafanya mangapi kule!!! Umeona kuna fala yeyote kaomba jay z apewe uongozi!!!! Aisee hii ngozi nyeusi tunaiaibisha sisi wenyewe2 mbona tuna uwezo wa kufikiri ila2 ndo kama hivi
Mwana Lumumba kakubali kuwa Hakuna Makonda. Kuna Bashite...Hakuna mwana wa lumumba akawa na akili timamu