Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,256 Reaction score 16,317 Aug 29, 2017 #21 akizingua tena anafanyiwa hivihivi mpaka awe kama mr nice
MERCIFUL JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 2,788 Reaction score 3,126 Aug 29, 2017 #22 Jambazi said: Uzuri mmoja Diamond kazungukwa na kundi kubwa la watu la washauri wasiona na elimu kichwani ndiyo tatizo...... Kama mshauri mkuu mwandamizi wa Diamond mwenye elimu kubwa ni Petity Man mwenye bachelor ya mapishi hapo kuna nini tena.......???? Click to expand... Daah!! Jamani sasa ni Uzuri au Ubaya! 😉 Seduce me walahi imeleta balaa!!
Jambazi said: Uzuri mmoja Diamond kazungukwa na kundi kubwa la watu la washauri wasiona na elimu kichwani ndiyo tatizo...... Kama mshauri mkuu mwandamizi wa Diamond mwenye elimu kubwa ni Petity Man mwenye bachelor ya mapishi hapo kuna nini tena.......???? Click to expand... Daah!! Jamani sasa ni Uzuri au Ubaya! 😉 Seduce me walahi imeleta balaa!!
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,970 Reaction score 35,168 Aug 29, 2017 #23 Mulhat Mpunga said: nlikuwa busy na duka langu huko legho Click to expand... LEO ni Ndoa ya Diamond na Zari
Mulhat Mpunga said: nlikuwa busy na duka langu huko legho Click to expand... LEO ni Ndoa ya Diamond na Zari
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 27,031 Reaction score 49,928 Aug 29, 2017 #24 NAHUJA said: Kwa leo hatasoma uzi wako, yuko busy anaoa Click to expand... ni video bna.halafu mond anajua kumtumia zari vibaya leo ni arobaini ya mama yake
NAHUJA said: Kwa leo hatasoma uzi wako, yuko busy anaoa Click to expand... ni video bna.halafu mond anajua kumtumia zari vibaya leo ni arobaini ya mama yake