Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Nchi ina njaa tumeagizwa na mababa Askofu tuliombee taifa letu dhidi ya ukame na njaa....DAVIDO WA NIGERIA NA DIAMOND WETU WAPO GABON HUKO .ILA SIJAONA SEHEMU WAMEPIGA PICHA PAMOJA NA SIO JAMBO LA KAWAIDA KWA DIAMOND KUTOKUONESHA MASHAUZI YAKE AKIWA NA WATU KAMA HAO. ZILE SHUTUMA ZA DIMPOZ JUU YA MOND KUWAFIGISU WENZIE ILI ATOKE YEYE ZIMETIMIA KWA DAVIDO AKAMTEMA AU NINI? TEAM MOND WENZANGU HEBU NJOONI TUJADILI HII SIO KAWAIDA KABISAhttps://www.youtube.com/watch?v=1LIX3_vpMng
HUJAITWA HUKUNchi ina njaa tumeagizwa na mababa Askofu tuliombee taifa letu dhidi ya ukame na njaa....
Tehe tehe tehe teheMbona Davido amempost kwenye Snapchat juz walikuwa club pamoja wanakula good life Na MTU mzima sallam hatari Akon alikuwepo Au ulitaka wapostiane insta
Hapa watasema ni picha mbiliHaya hao hapo[emoji116]
Ohooo!!!Hapa watasema ni picha mbili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haya hao hapo[emoji116]
Instagram premium leagurHiyo team diamond inashiriki league gani???
Au ndo mnafanya mazoezi na vikao vyenu JF?
DAVIDO WA NIGERIA NA DIAMOND WETU WAPO GABON HUKO .ILA SIJAONA SEHEMU WAMEPIGA PICHA PAMOJA NA SIO JAMBO LA KAWAIDA KWA DIAMOND KUTOKUONESHA MASHAUZI YAKE AKIWA NA WATU KAMA HAO. ZILE SHUTUMA ZA DIMPOZ JUU YA MOND KUWAFIGISU WENZIE ILI ATOKE YEYE ZIMETIMIA KWA DAVIDO AKAMTEMA AU NINI? TEAM MOND WENZANGU HEBU NJOONI TUJADILI HII SIO KAWAIDA KABISAhttps://www.youtube.com/watch?v=1LIX3_vpMng
Haaa haaaaaInstagram premium leagur
Mtoa uzi huu sijui kala maharage ya wapi? Itakuwa ni muuza kahawa huyu, anatafuta watu walumbane ili yeye auze kahawa yake.DAVIDO WA NIGERIA NA DIAMOND WETU WAPO GABON HUKO .ILA SIJAONA SEHEMU WAMEPIGA PICHA PAMOJA NA SIO JAMBO LA KAWAIDA KWA DIAMOND KUTOKUONESHA MASHAUZI YAKE AKIWA NA WATU KAMA HAO. ZILE SHUTUMA ZA DIMPOZ JUU YA MOND KUWAFIGISU WENZIE ILI ATOKE YEYE ZIMETIMIA KWA DAVIDO AKAMTEMA AU NINI? TEAM MOND WENZANGU HEBU NJOONI TUJADILI HII SIO KAWAIDA KABISAhttps://www.youtube.com/watch?v=1LIX3_vpMng
SIJAMUONA MOND PALEMbona Davido amempost kwenye Snapchat juz walikuwa club pamoja wanakula good life Na MTU mzima sallam hatari Akon alikuwepo Au ulitaka wapostiane insta