Diamond Platnumz kavurugwa?

Kuna haja baadhi ya Wasanii wetu kuajiri digital managers ambao pamoja na majukumu yao mengi,

  • wangekuwa na kazi ya kupost kwenye mitandao matukio na taarifa mbalimbali za maboss wao(Wasanii) ili kuepusha makosa ya kisarufi na kimantiki.
  • Kazi ya kujibu meseji za mashabiki zao n.k
Hii itasaidia kutunza heshima ya msanii husika ili ile dhana kuwa msanii ni kioo cha jamii idhihirike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…