Diamond Platnumz kazi anayo!

Diamond Platnumz kazi anayo!

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Ndoto ya Diamond kuwa Tajiri namba moja Duniani inazidi kuwa ngumu kila uchwao, Elon Musk anaendelea kuchanja Mbuga na sasaivi anaelekea kwenye Utrilionea.

Screenshot_20240909-204058.jpg

Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Vienna Austria 🇦🇹

Soma Pia: Exposure ya Diamond ni ndogo, anahisi hapa Tanzania ana pesa nyingi, kumbe kuna watu
 
Determination ya ubilionea ni ukubwa wa uchumi wa nchi unayotokea, ukubwa wa uwekezaji wako maeneo mbalimbali duniani, ukubwa wa mitaji yako kwenye uwekezaji kwenye masoko ya hisa, umiliki wa hisa zako kwenye mitaji ya makampuni mbalimbali
Haiwezekani kuwa tajiri wa Dunia kutokea nchi za Dania ya tatu.Never🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mambo mengine mnaandika kushekesha ama?,hata Top 100 ya Matajairi wa hapa hapa Tanzania huyo Diamond hawezi kuwemo ndio isitoshe ubilionea wa Dunia???
Hats matajiri 1000 bongo hayupo wanachanganya mwanamuziki tajiri na matajiri wenyewe kina Mo,bakhresa n.k
 
Ana watoto zaidi ya 10 kweli watoto ni baraka mpka kawa trilionea 🔥
Ivi kuna watu special kwa ajili ya kua matajiri ie utrilionea m kwanza sijui ntapaa maana sasa ntakua nmebakiza nini😂😂😂.
Mungu naomba unijalie pesa nyingi sijasema kwa ubaya nmewaza tuu.
 
Mwalimu wangu aliwahi kuniambia unaposet malengo, set pakubwa ili ikitokea hujafanikiwa basi uangukie pakubwa. Kwenye mtihani nifocus kupata alama mia moja basi nikifeli nitaangukia kwenye tisini.

Diamond anaonekana ni kituko kwa alichosema but that's how winners set their mind.


If you think small,
your world will be
small. If you think
big, your would will
be BIG — Paulo
Coelho
 
Utajiri wa mond bin laden ni takribani=tsh bilioni 15
Utajiri wa tajiri namba moja elon takribani=tsh tillion 550.

Kwa hesabu za haraka haraka hapo mondi akipiga deal jingine la pepsi la milioni 200 anakuwa amebakiza tillion 270 hivi ampiku elon,sisi kama chawa wa wcb tutafanya sherehe kubwa.
 
Ndoto ya Diamond kuwa Tajiri namba moja Duniani inazidi kuwa ngumu kila uchwao, Elon Musk anaendelea kuchanja Mbuga na sasaivi anaelekea kwenye Utrilionea.


Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Vienna Austria 🇦🇹

Soma Pia: Exposure ya Diamond ni ndogo, anahisi hapa Tanzania ana pesa nyingi, kumbe kuna watu
Mtu mjinga kama huyu unashangaa kafikaje Australia,
Nyie ndugu muwe mnawapima akili kabla hamjawapeleka wawafuate Ulaya kusaidia kubeba box.
Mwehu kama huyu alitakiwa awe kwenye mashamba ya miwa huko turiani.
 
Hilo la kuwa #1 atakuwa alidanganywa na didy aka. Dr love ili ampakae wese.Mtu sio tajiri hata namba 1 hapo mkoani bongo ndio iwe duniani?
 
Back
Top Bottom