Carbondioxide
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 733
- 195
Zipi hizo...hizi exergragation
Mkuu Nina swali kidogoNyota wa muziki Bongo fleva maarufu kama Diamond Platnumz ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wa "Utanipenda" anategemea kwenda kufanya maajabu nchini "Swedeni" ambako atakanyaga stage moja na mkali wa wimbo wa unaoitwa "Can Do" maarufu kama "Dati" ambaye pia mtanzania anayeishi nchini humo.Itakuwa ni 27/3/2016 Subtopia Alby Vagen 38 muda ni saa 2:00-5:00 get ready.
Chanzo.teamtz.com
Uliza tu kunatatizo kwani ukiuliza?Mkuu Nina swali kidogo
Wasafi records IPO wapi nielekeze nnashida ya msingi kidogoUliza tu kunatatizo kwani ukiuliza?
Kwa msaada zaidi @OfficialpageDiamondPlatnumz-FB,Twitter, Instargramm,Snapchat.Sorry mkuu.Kama ntakuwa nmekukwaza.Wasafi records IPO wapi nielekeze nnashida ya msingi kidogo
Kwa msaada zaidi @OfficialpageDiamondPlatnumz-FB,Twitter, Instargramm,Snapchat.Sorry mkuu.Kama ntakuwa nmekukwaza.Wasafi records IPO wapi nielekeze nnashida ya msingi kidogo
Haha usijali Mkuu pesa kwanza mambo mengine baadaeKwa msaada zaidi @OfficialpageDiamondPlatnumz-FB,Twitter, Instargramm,Snapchat.Sorry mkuu.Kama ntakuwa nmekukwaza.
Sina bifu na #Rockstar.
Ni neno jipya la Kiingereza bila shakahizi exergragation
chuku au chumviNi neno jipya la Kiingereza bila shaka