Diamond Platnumz Kununua Viewers na Followers

 
maneno ya mkosaji
video za kiba zina uzuri gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
diamond anajitahidi sana video...
team kiba kubalini tu diamond ndo baba ya muziki!!!
 

Kwanza yeye ni diamomd fake lazma awe na followers fake maana kila kitu fake hata miziki anayoimba fake
 
Jina umebadili wewe sakafu?

Ukionaga tuzo zinawika unapagawa

*********

Furahia wa nchini kwetu, kumpigia mtanzania mwenzetu Diamond Platnumz aka Chibu kura ya tuzo za aina 3.

Afrimma Awards link hii zipo 4

Nominees 2016 | AFRIMMA

*********

AEA USA AWARDS zipo 5

www.aeausa.net/vote

Utakutana na maelezo haya chini...nimeweka uyasome mapema ukiingia unajimwaga tu...

" Voting Instruction: Please select at least 3 voting categories then login with your facebook or email in order to cast the vote. Anonymous data collection is only for the voting authentication purposes. For more information please contact us."

************

Uganda Entertainment Awards zipo 2

http://ugandaentertainmentawards.com/
 
hilo ndio swali la msingi nimeuliza ila hakuna alienijibu watu wamerukia kwenye mambo mengine kabisa

Eeeeh keshon anzisha uzi mwingine mpaishe Diamond wetu...nasi tunampenda kama wewe.
 
Kama ana uwezo wa kununua viewers milioni mbili sasa anahangaika na mziki wa nini??? Si awe bakhressa tu..

Uliyeanzisha hii thread next time tumia uto tuakilili twako hata kama ni twudogo dogo
 
Ninachofahamu siku ya tatu nilipoutafuta kile kichupa cha kidogo dogo viewers kwenye video order ilisoma laki 9 plus nikaona duh hii si hatari sasa me sikushawawishiwa na mtu na nikadownload sasa ubaya WA uchawi WA kizungu hata ww usiempenda DIAMOND unapojikuta tu umejaribu kukicheck kichupa chake counter inakuhesabu kule mtu WA milioni na moja matokeo yake wenyewe wenye roho mbaya ndio wanaoongeza idadi ya mond kubamba online Bila kujijua.
 
Hahahhahaahahahah mabweha chuki zikizidi, bado mnahangaika, kiba kalipa watu wakamzomey mondi sasa leo eti nayeye amelipa viuew hahahagahahagahahah get a life, bweo
 
Maneno yako ni majibu tosha.
 
Wanampromte kiaina..... basi km ni hvyo yy ndiye msanii mwenye hela ndefu bongo coz kuhonga mtv sio mchezo
 
sasa kama mnadhani huyu kijana ananunua followers/viewers kutazama video you tube, hao kina Taylor Swift na Katy Perry mtasemaje?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…