Diamond platnumz,kupiga show kwa mara ya kwanza china

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Awali nilitoa taarifa kuhusu Diamond kufanya onyesho la music,mjini Guangzhou China..
taarifa kamili ni kuwa..
onyesho litakuwa siku ya ajumaa tarehe 18.
ndani ya Rich club
..the president z goin to made another history..

photo by.heaven.

They hating eer day..we earning eer day
 

ahsante kwa taarifa ila hii lugha ya ughaibuni ni mushkeli ungetumia tu kiswahili ni/tungekuelewa vizuri.
 
hapo kwenye red naomba umwambie boss wako akupeleke shule la sivyo basi tumia kiswahili
 
Mkuu @heaven on desert, kiingereza bado kinakusumbua, najua unatafuta riziki, next time andika kwa kiswahili wadau watakuelewa!
 
Duh hicho kizungu noooooma!
 
lABDA HUJAELEWA WAPI NA NINI
KWA MFANO
..the president z goin to made another history....

hapo kwenye red toa hiyo kitu hakuna kimombo kama hiko, andika kiswahili hii lugha ya malkia achana nayo
 
Hivi hizi show huwa hamchukui video??

Mnaishia kutuonyesha picha..

Tunapenda kuona mnatuwakilisha vp wa-Tz kwenye anga za kimataifa..
 
Hivi hizi show huwa hamchukui video??

Mnaishia kutuonyesha picha..

Tunapenda kuona mnatuwakilisha vp wa-Tz kwenye anga za kimataifa..

Acha uvivu wewe.ingia youtube kwnye account ya diamond.
Diamond matukio yake yote ana team ya kumrekodia kila kitu.
nenda youtube tunatupiaga huko.
 
Acha uvivu wewe.ingia youtube kwnye account ya diamond.
Diamond matukio yake yote ana team ya kumrekodia kila kitu.
nenda youtube tunatupiaga huko.
edit post kwa kuandika kiswahili au kingereza fasaha tumekuonyesha ulipotokota umeingia mitini
 

mhhh huku kwa wasomi hampawezi jamani hicho kimimbo hata mdogo wangu wa std six anakushinda thats why naonaga shule ni mali sana kuliko pesa coz msomi unaringa bwana khaaaa!!!!! hata ndomo nae mchovu kwel kwenye hyo mambo kazaneni lakini mtaweza hahaha #going to made##@# Madame B pita hapa shemeji
 
Last edited by a moderator:
Hahaha mependa lugha...
Sure the Prezdent wl made another history
 
huo usomi muusemao bila pesa ni kelele tu
kelele nyingi sasa kwanini ulikuwa unabisha kwamba haujatema boko, kama haujui kingereza tumia kiswahili wala usijisikie vibaya tupo wengi tusiojua ila wengi hatuna kelele kama zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…