Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Msanii nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, anatarajiwa kutumbuiza katika hafla ya ugawaji tuzo za Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) itakayofanyika Desemba 16 kama Headliner
Pia, Soma: Simba na Yanga zang’ara kwenye Tuzo za CAF, Zawania Klabu Bora ya Mwaka 2024
Hafla hiyo ya kifahari itawakutanisha mastaa wa soka, viongozi wa michezo, na wageni mashuhuri kutoka Afrika na kwingineko, ikiwa ni sehemu ya kusherehekea mafanikio ya wachezaji na timu bora kwa mwaka 2024.