Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Eti willy paul anataka kumpiku simba,mjinga kweliMsanii nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, anatarajiwa kutumbuiza katika hafla ya ugawaji tuzo za Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) itakayofanyika Desemba 16 kama Headliner
View attachment 3177123
Pia, Soma: Simba na Yanga zang’ara kwenye Tuzo za CAF, Zawania Klabu Bora ya Mwaka 2024
Hafla hiyo ya kifahari itawakutanisha mastaa wa soka, viongozi wa michezo, na wageni mashuhuri kutoka Afrika na kwingineko, ikiwa ni sehemu ya kusherehekea mafanikio ya wachezaji na timu bora kwa mwaka 2024.
View attachment 3177129
View attachment 3177130
View attachment 3177131
Ulitaka a perform nyimbo Gani sasa.komasava
Yope
ndio nyimbo zake anazopendelea kuperform mbele ya hadhira
Itakuwa za Bi kidudeUlitaka a perform nyimbo Gani sasa.
Alikiba hapendi show off,yeye pia leo ataperform ugawaji wa tuzo za UEFA,ila hata hajipost,aliskika kijana mmoja mwenye wivu akisemaSafi dogo! Apewe maua yake aisee, hizi makitu huwezi mkuta ndugu yangu Kiba.
cc Wakenya na ile kiporo yao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Msanii nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, anatarajiwa kutumbuiza katika hafla ya ugawaji tuzo za Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) itakayofanyika Desemba 16 kama Headliner
View attachment 3177123
Pia, Soma: Simba na Yanga zang’ara kwenye Tuzo za CAF, Zawania Klabu Bora ya Mwaka 2024
Hafla hiyo ya kifahari itawakutanisha mastaa wa soka, viongozi wa michezo, na wageni mashuhuri kutoka Afrika na kwingineko, ikiwa ni sehemu ya kusherehekea mafanikio ya wachezaji na timu bora kwa mwaka 2024.
View attachment 3177129
View attachment 3177130
View attachment 3177131
Yule dogo jina lake ni Wali Kiporo. Msikosee tena nishawaambia.Eti willy paul anataka kumpiku simba,mjinga kweli
Swadakta. Utasikia kinyesi kinachojiita CHAWA kinasema mama anaupiga mwingiMsanii nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, anatarajiwa kutumbuiza katika hafla ya ugawaji tuzo za Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) itakayofanyika Desemba 16 kama Headliner
View attachment 3177123
Pia, Soma: Simba na Yanga zang’ara kwenye Tuzo za CAF, Zawania Klabu Bora ya Mwaka 2024
Hafla hiyo ya kifahari itawakutanisha mastaa wa soka, viongozi wa michezo, na wageni mashuhuri kutoka Afrika na kwingineko, ikiwa ni sehemu ya kusherehekea mafanikio ya wachezaji na timu bora kwa mwaka 2024.
View attachment 3177129
View attachment 3177130
View attachment 3177131
Atakwenda peke yake au na mumewe mpya P. Diddy?Msanii nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, anatarajiwa kutumbuiza katika hafla ya ugawaji tuzo za Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) itakayofanyika Desemba 16 kama Headliner
View attachment 3177123
Pia, Soma: Simba na Yanga zang’ara kwenye Tuzo za CAF, Zawania Klabu Bora ya Mwaka 2024
Hafla hiyo ya kifahari itawakutanisha mastaa wa soka, viongozi wa michezo, na wageni mashuhuri kutoka Afrika na kwingineko, ikiwa ni sehemu ya kusherehekea mafanikio ya wachezaji na timu bora kwa mwaka 2024.
View attachment 3177129
View attachment 3177130
View attachment 3177131
hata mm nashangaaga sana wasanii wetu kuimba nyimbo zao za kutiana nyege ambazo hazina uhusiano na tukio..kwani hawawezi kutunga na kuimba wimbo maalum utakaoendana na tukio husika la mchezo wa soka.?komasava
Yope
ndio nyimbo zake anazopendelea kuperform mbele ya hadhira
Msanii nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, anatarajiwa kutumbuiza katika hafla ya ugawaji tuzo za Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) itakayofanyika Desemba 16 kama Headliner