Diamond Platnumz kutumbuiza mkutano wa Raila Odinga

crankshaft

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,427
Reaction score
3,438
Msanii Diamond Platnumz yupo nchini Kenya na anatarajiwa kutumbuiza katika mkutano wa mwisho wa kampeni wa azimio la umoja wa Raila Odinga.

Source:bbc swahili
 
Raila Naye Yupo Hoi Sana Sijui Kwanini Kagombea
 
Wamemtumia private jet SA kumchukua mpaka Kenya,baada kufika akaingia kwenye Chopa mpaka Kasarani Stadium,kapiga show baada ya kumaliza akachukuliwa na Chopa mpaka uwanja wa ndege, then akapada private jet kurudi SA.Daah wanasiasa wa Kenya wana mawe khaaaaa.......
 
Kouh kouh kouhh!! Jesshiii....liko wapi!??
 
Show moja ndani ya 30mins kachukua 190m,hapo bado kakodiwa private jet kwenda na kurudi ,South Africa,kakodiwa Chopa ya kumpeleka Kasarani Stadium na kumrudisha mpaka uwanja wa ndege.

Twitter kumechafuka wasanii wa Kenya wame maindi kishenzi.
 
Yupo kwnye kilele ktk kazi yake ametishaaa 👏👏
From the chopper to the plane at the same damn time 😛😛😛
 
Show moja ndani ya 30mins kachukua 190m,hapo bado kakodiwa private jet kwenda na kurudi ,South Africa,kakodiwa Chopa ya kumpeleka Kasarani Stadium na kumrudisha mpaka uwanja wa ndege.

Twitter kumechafuka wasanii wa Kenya wame maindi kishenzi.

Duh huo muda nadhani ata ndege haikuzimwa pale airport.

Anafika anakuta ndio inajazwa wese.
 
Domo kamwachia gundu mzee wa watu, apo asipo shtuka mapema na urais ataukosa
 
Back
Top Bottom