Diamond Platnumz kutumbuiza mkutano wa Raila Odinga

Wamkodie tena kwenye kusherehekea ushindi wa Raila.
 
Wanaumia sana maana mmoja alijiona mjanja akajibebesha mimba katikati ya mahusiano ya mwenzie birthday ya mwanae hata hakuna mtandale aliyeishobokea hadi huruma
Familia ipo South sijui wake wenza Wana jisikiaje na watoto wao kaziiii kweli kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaumia sana maana mmoja alijiona mjanja akajibebesha mimba katikati ya mahusiano ya mwenzie birthday ya mwanae hata hakuna mtandale aliyeishobokea hadi huruma
Ila wewe unachamba in Women's voice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…