Carbondioxide
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 733
- 195
Kibakuli hayupo kwenye category...Hapo kweli kinyang'anyiro, collabo la maex wa diamond na madem alowapitiaga ni vote for Davido, mashabiki wa king asiejua mziki vote for davido, wenye wivu wanaotamani diamond ashindwe vote for davido.....mie kura yangu kwa Ally Kiba hakuna namna
Duh sa ntampigia kura nani mbona nimechanganyikiwa sasa,ommy dimpoz pia hayupo? kili music ni liniKibakuli hayupo kwenye category...
Subiri kill music awards
Yani we acha tu ingia kwenye site yao ya awards ka nilivokuelekeza hapo juu yaani utakuta kategoris zingine kama website bora naijeria.Na nyingine kbaooo.Duh wanaija wana tuzo nyingi aisee kila siku tuzo, inaonekana hii biashara inalipa sana
bwenyenye wew na chuki zako binafsi kajinyonge sasa na nitakutafuta baada ya mond kushindaHapo kweli kinyang'anyiro, collabo la maex wa diamond na madem alowapitiaga ni vote for Davido, mashabiki wa king asiejua mziki vote for davido, wenye wivu wanaotamani diamond ashindwe vote for davido.....mie kura yangu kwa Ally Kiba hakuna namna
We ntakupiga ngumi moja uzimie ohooobwenyenye wew na chuki zako binafsi kajinyonge sasa na nitakutafuta baada ya mond kushinda
Hahaa! Ndugu yangu msome Evelyn Salt post #5 & #7, ukimwelewa na mimi utanielewa tu!!! Lugha ya mama ni tamu CO2, manake unaipindua na kuifinyangafinyanga kadri unavyotaka!Ulitakaje chige Maoni yako plz!!