Carbondioxide
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 733
- 195
- Thread starter
-
- #21
OK,Sasa ninyi wamajabu kweli kweli-Ali alisema yeye mkubwa kuliko Trophy na Mziiki wake unasamani kuliko TuZo,Sasa uko Kill Musik Award-2016 atakuwa anaenda kutafuta nini? while anataka Tuzo.Mwambie asiwekwe kweny3 Kill Mwaka uu coz ya ukubaw wake.Hahaa! Ndugu yangu msome Evelyn Salt post #5 & #7, ukimwelewa na mimi utanielewa tu!!! Lugha ya mama ni tamu CO2, manake unaipindua na kuifinyangafinyanga kadri unavyotaka!
ah ujui mashabiki wa kiba wanampigiaga kura davidoWanzania ukiwapa nafasi ya kupiga kura imekula kwako , tekno,itel na Samsung feki nyingi sana ,tulikua hatushindi kipindi kile kupiga kura ilikua 250 SMS sasa hivi bure utawatambua tu na hivi main source ya hbr ni istagram=album ya kisasa hadi wafanyakazi wa ndani wanayo , yaani Tanzania sasa hivi tunaongoza kwa kufollow, watanzania wenye million followers wengi ndo nchi inayoongoza ikifuatiwa na Nigeria (Africa) maumivu kwao wakishamaliza kugawanyisha kula za Nigeria kwa davido na diamond population yao kubwa ambayo ni silaha yao inakua useless, njia pekee ya kufanya Tanzania kukosa hizo tuzo ni kumuweka Kiba ili kugawanya kura za watanzania otherwise wanaisoma namba,
HahaahhahahaaWanzania ukiwapa nafasi ya kupiga kura imekula kwako , tekno,itel na Samsung feki nyingi sana ,tulikua hatushindi kipindi kile kupiga kura ilikua 250 SMS sasa hivi bure utawatambua tu na hivi main source ya hbr ni istagram=album ya kisasa hadi wafanyakazi wa ndani wanayo , yaani Tanzania sasa hivi tunaongoza kwa kufollow, watanzania wenye million followers wengi ndo nchi inayoongoza ikifuatiwa na Nigeria (Africa) maumivu kwao wakishamaliza kugawanyisha kula za Nigeria kwa davido na diamond population yao kubwa ambayo ni silaha yao inakua useless, njia pekee ya kufanya Tanzania kukosa hizo tuzo ni kumuweka Kiba ili kugawanya kura za watanzania otherwise wanaisoma namba,