Inawezekana kwanini ishindikane bhn..! Wengine waliweza vip?Hivi inawezekana kweli kwa Usher?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kuna watu mnazingua humu
We chokoraaa daunitauni maana yake nini? Born town sio dauni tauni sawa weweInatupa furaha kuona wa kwetu hapa nchini anatoa salamu za hivyo...kama vile nae anaishi nao huko daunitauni wapi sijui....
Tufurahie wa kwetu
Nae anazngua,Diamond platnumz ni moja ya wasanii wa Bongo fleva
ambao ndoto zao kubwa ni kuhustle kuufikisha muziki
wa Bongo katika sehemu ambazo ilikuwa ni ndoto
kufika. Tukiwa tunasubiri ujio wa ngoma yake mpya
na Neyo, Diamond, Ludacris, Swizz na wengine kibao
waungana.
Siku ya ijumaa waliungana pamoja kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa Usher kupitia kurasa zao za Instagram. Siku ya Jana Diamond aliungana na wasanii wakubwa kama ludacris, Swizz Beatz na wengine kumtakia heri
ya kuzaliwa Usher, na kwa upande wa Diamond platnumz yeye aliandika hivi, “Happy Birthday Bro…
Can’t wait for our Big day! @usher,”
so tusubiri makubwa kwenye hili.
We chokoraaa daunitauni maana yake nini? Born town sio dauni tauni sawa wewe
Huyu jamaa ana maringo flani hivi! Penye nia hapakosi njia lakini wahenga walisemaInawezekana kwanini ishindikane bhn..! Wengine waliweza vip?
Huyu jamaa ana maringo flani hivi! Penye nia hapakosi njia lakini wahenga walisemaInawezekana kwanini ishindikane bhn..! Wengine waliweza vip?