Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
baada ya kushangaza ulimwengu kwa kuvunja record kadhaa D kaja na rekodi mpya ya kufungia mwaka kwa kufikisha followers million 1.5 hakuna celebrity yoyote wa Africa kafikusha hii idadi ya followers mpaka mda huu napoandika hii thread
Big up Diamond kwa kutangaza taifa letu
Its trueIf its true hongera zake
Why cant you go and confirm?If its true hongera zake
mada imelenga celebrities wanaofanya kazi within africa
baada ya kushangaza ulimwengu kwa kuvunja record kadhaa D kaja na rekodi mpya ya kufungia mwaka kwa kufikisha followers million 1.5 hakuna celebrity yoyote wa Africa kafikusha hii idadi ya followers mpaka mda huu napoandika hii thread
Big up Diamond kwa kutangaza taifa letu
Napia inamaanisha wabongo wengi tunapenda kuona "Picha" kuliko kusoma..easy way" jiulize kwann twitter wabongo wengi hawapo na maceleb wetu kule ni mabubu Y"Hongera yake Mondi
But hiyo yote ni kutokana na ukweli kwamba wabongo wanaongoza kwa kutumia mitandao ya kijamii hasa huu wa Instagram, ukiangalia top ten ya maceleb wa ndani ya Africa wenye followers wengi humo wametawala wabongo tu!
Hata hawa kina davido na wiz kid ambao wamefikisha 1m followers asilimia kubwa ya followers wao ni wabongo!
Hii inaonyesha wabongo wengi tunatumia mda mwingi Instagram kwa ajili ya udaku udaku tuu!
Kuhusu picha hiyo nayo ni sababu, kwa kua Instagram ni mtandao wa pictureNapia inamaanisha wabongo wengi tunapenda kuona "Picha" kuliko kusoma..easy way" jiulize kwann twitter wabongo wengi hawapo na maceleb wetu kule ni mabubu Y"
jipu limeisha hiva wewe....We sema kuwa wewe na shabiki wake
Kuna watu wana followers 10 milion tembea duniani uone. Huyo ana followers wengi wajinga 90%