Diamond Platnumz na Rayvanny wanawaburuza Wasanii wa Kibongo

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
235227762_4359529700809068_5434282019431170116_n.jpg

Hivi ndivyo Diamond na Rayvanny walivyowaachia gap kubwa la kuuza muziki wao duniani.

Siku zote kelele hazishindani na number. Namba hazidanganyi.

Uwa tunawaambia Diamond na Ray ni level nyingine wanapoachia muziki wanajua target yao. Watu mkaiponda sana album ya Ray kwa sababu hamjui mnaloongea tukawakaushia.
 
Kwa niaba ya team kibakuli & konde girl hii list hatuikubali coz wcb wamewalipa spotify wawaongezee stream.
 
View attachment 1888534
Hivi ndivyo Diamond na Rayvanny walivyowaachia gap kubwa la kuuza muziki wao duniani.

Siku zote kelele hazishindani na number. Namba hazidanganyi.

Uwa tunawaambia Diamond na Ray ni level nyingine wanapoachia muziki wanajua target yao. Watu mkaiponda sana album ya Ray kwa sababu hamjui mnaloongea tukawakaushia.
Leta Na list ya boomplay
 
Kongole kwao, showbiz needs a lot of planning.
 
Muda na juhudi,miaka 5 ijayo hali itakuwa tofauti kabisa.

Maana sasa wasanii wameshtuka.
 
Duuh...! Harmonizes katupwa huko?. Kweli wasafi kiboko. Harmonize najikaza tu,ila moto anakiona
 
tatizo harmo kawekeza nguvu kubwa kwenye page za udaku ili aonekane mkubwa hadi kasahau kupromote kazi ambazo ndo zinadefine ukubwa wa msanii.
 
Wasafi wamewafungua macho wasanii wa kibongo..kazi kwao sasa kutengeneza pesa.
Music sio kuimba tu ni pamoja na mipango, sio unaweka pesa kwa carymastory alafu unajidanganya umeshakua mkubwa.
Hahahah
 
Ninavyojua maseeela huko mtaani kuna dhiki
Ndio maana siringishi ela na ninavyovimiliki
 
Back
Top Bottom