sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Wasafi wamewafungua macho wasanii wa kibongo..kazi kwao sasa kutengeneza pesa.Ila wasafi wanajitahidi tuwape pongezi zao tu.
Chart imewavua nguo wavimba machoKula ya chawa ni kwa kujilamba sana.
Leta Na list ya boomplayView attachment 1888534
Hivi ndivyo Diamond na Rayvanny walivyowaachia gap kubwa la kuuza muziki wao duniani.
Siku zote kelele hazishindani na number. Namba hazidanganyi.
Uwa tunawaambia Diamond na Ray ni level nyingine wanapoachia muziki wanajua target yao. Watu mkaiponda sana album ya Ray kwa sababu hamjui mnaloongea tukawakaushia.
Kongole kwao, showbiz needs a lot of planning.View attachment 1888534
Hivi ndivyo Diamond na Rayvanny walivyowaachia gap kubwa la kuuza muziki wao duniani.
Siku zote kelele hazishindani na number. Namba hazidanganyi.
Uwa tunawaambia Diamond na Ray ni level nyingine wanapoachia muziki wanajua target yao. Watu mkaiponda sana album ya Ray kwa sababu hamjui mnaloongea tukawakaushia.
BoomplayLeta Na list ya boomplay
tatizo harmo kawekeza nguvu kubwa kwenye page za udaku ili aonekane mkubwa hadi kasahau kupromote kazi ambazo ndo zinadefine ukubwa wa msanii.Duuh...! Harmonizes katupwa huko?. Kweli wasafi kiboko. Harmonize najikaza tu,ila moto anakiona
Asante.... kwenye namba kama hizi uwezi ona wakaanga sumu wakipiga kelele zao. Namba siku zote hazisemi uongo.
HahahahWasafi wamewafungua macho wasanii wa kibongo..kazi kwao sasa kutengeneza pesa.
Music sio kuimba tu ni pamoja na mipango, sio unaweka pesa kwa carymastory alafu unajidanganya umeshakua mkubwa.
Mkishachapwa mnaanza kutunga mistari ya kutia huruma πππNinavyojua maseeela huko mtaani kuna dhiki
Ndio maana siringishi ela na ninavyovimiliki