Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Hivi kati ya Diamond Platnumz na Samatta nani anaweza kuwa na pesa nyingi kumzidi mwenzie? Mimi naona Samatta, kuishi Ulaya zaidi ya miaka nane halafu kucheza Aston villa huku unalipwa milion Mia kwa wiki hii ni wazi kuwa Samatta ana mpunga mrefu sana ila hajataka kuyaweka wazi mafanikio yake ya kipesa.
Diamond Platnumz yeye ni tajiri wa magari na show off.
Diamond Platnumz yeye ni tajiri wa magari na show off.