Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Hasira za nini broo?Mwanaume unaulizia pesa za wanaume wenzio ? Nenda upewe pesa za bure
Mwanaume mzima ndio mada unazoweza, tafuta zakoHivi kati ya Diamond Platnumz na Samatta nani anaweza kuwa na pesa nyingi kumzidi mwenzie? Mimi naona Samatta, kuishi Ulaya zaidi ya miaka nane halafu kucheza Aston villa huku unalipwa milion Mia kwa wiki hii ni wazi kuwa Samatta ana mpunga mrefu sana ila hajataka kuyaweka wazi mafanikio yake ya kipesa.
Diamond Platnumz yeye ni tajiri wa magari na show off.
Duh mkuu unaongelea mafanikio ya watanzania wenzako ilo ni kosa kubwa kwa makapuku wa jf. Utaitwa shoga, chawa, mjinga etcHivi kati ya Diamond Platnumz na Samatta nani anaweza kuwa na pesa nyingi kumzidi mwenzie? Mimi naona Samatta, kuishi Ulaya zaidi ya miaka nane halafu kucheza Aston villa huku unalipwa milion Mia kwa wiki hii ni wazi kuwa Samatta ana mpunga mrefu sana ila hajataka kuyaweka wazi mafanikio yake ya kipesa.
Diamond Platnumz yeye ni tajiri wa magari na show off.
Ajabu sana...sikuwa hata na nia mbaya ya kuuliza ila naona watu wamepokea kitofauti...nilitaka kufahamu tu kwa kuwa humu jf ni sehemu ya kujifunza..Duh mkuu unaongelea mafanikio ya watanzania wenzako ilo ni kosa kubwa kwa makapuku wa jf. Utaitwa shoga, chawa, mjinga etc
Umu utafurahisha watu ukisema nani kati ya samatta na diamond akafirisika soon
Unajufunza nini acha akili za kijuha ? Angalia nini kinachowafanya waonekane wako juu sio kuulizia utajiri na pesa zao.Ajabu sana...sikuwa hata na nia mbaya ya kuuliza ila naona watu wamepokea kitofauti...nilitaka kufahamu tu kwa kuwa humu jf ni sehemu ya kujifunza..
๐๐๐Kua mkubwa kwanza alafu uje JF
๐๐๐Mwanaume unaulizia pesa za wanaume wenzio ? Nenda upewe pesa za bure