Diamond Platnumz na Vanessa Mdee wachaguliwa kwenye tuzo za Too Xclusive Awards 2015

Carbondioxide

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
733
Reaction score
195
Kama kawaida yetu, Diamond Platnumz na Vanessa Mdee wamechaguliwa kwenye tuzo za tooXclusive Awards 2015 VOTE, Kwenye kipengele cha AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR.

Na kwenye kipengele cha OSCAR DIRECTOR OF THE YEAR wamo;
-Godfather Productions
-Unlimited LA
-Adassa Cooley
-JM Films
-Clarence

HUku Davido na Wizikid wamewekwa kwenye kategoriz mbili ARTISTE OF THE YEAR na MALE ARTISTE OF THE YEAR.
Na wengineo kibao.

Upigaji kura ushaanza tangu jana ,Mwisho tarehe 28th, January 2016.

VOTE NOW: CLICK HERE

#Je
utanipenda?
 
Cheap awards techno hajatoa mpunga wa kushiriki na hayupo katika hizi tuzo
 
Cheap awards techno hajatoa mpunga wa kushiriki na hayupo katika hizi tuzo

Ndio matatizo ya stress hayo mkuu.. kubaki na majungu tu, na kuona kila chenye mafanikio kuna figisufigisu zimefanyika... Nimekutana na page yako leo, naona unagoogle picha za magari makali afu unapost kuwadanganya ndio nagharamia coming soon, drops on monday hahahaha Mondi ndio Tasnia ya muziki kwa sasa mtaishia kujiumiza kichwa tu, mtagoogle picha hadi mwisho wa siku unajikuta unapost ile rolls royce ya kwenye ntampata wapi hahahaha

Usisahau kumpigia kura Icon sisi wamoja au sio mkuu, #TeamKibaa

Aah je UTANIPENDAGA.....
 
Tusisahau wadau kupiga kura.Hao akinanii tuachane nao wanasapotiwa na madem,watapost tumpigie davido.Minyooosho itaendelea tu.
WELLCOME NEW YEAR.
NB. MPIGIE KURA diamond PLATNUMZ KWENYE KIPENGERE CHA AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR-tooXclusive Awards 2015 VOTE NOW!!!!
 
Last edited by a moderator:
Duuh ni just awards ya blog ya mziki kubwa uko nigeria mbona una wivu sana
Kwahiyo zikiwa blog awards hazimuhusu techno watu wanalalamika kumbe yale maneno yana ukweli wizkid mjeuri techno jee ujeuri waka nini??
 
Kwahiyo zikiwa blog awards hazimuhusu techno watu wanalalamika kumbe yale maneno yana ukweli wizkid mjeuri techno jee ujeuri waka nini??

Techno wimbo katoa mwaka huu anaigiaje kwny awards last yr tekno alikuwa underground kashatoa zaidi ya nyimbo 10 kabla ya huo duro na uto mckia tena arudi kufanya production ya mziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…