N NIMEONA JF-Expert Member Joined Aug 4, 2019 Posts 3,862 Reaction score 5,693 Jul 5, 2021 #21 Leak said: Kama kweli viewers wananuliwa sasa watashindwa vipi likes? hahahaha Click to expand... hahahahaaa
Leak said: Kama kweli viewers wananuliwa sasa watashindwa vipi likes? hahahaha Click to expand... hahahahaaa
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,472 Reaction score 6,391 Jul 5, 2021 #22 Pia mnasahau moja ya mapato kwa msanii, ni mauzo ya muziki wake kupitia views za kule YouTube, analipwa kutokana na mauzo ya views alionao. Sasa hao wanaokulipa watakubali vipi uweke views wa uwongo halafu wakulipe. Does this make sense?
Pia mnasahau moja ya mapato kwa msanii, ni mauzo ya muziki wake kupitia views za kule YouTube, analipwa kutokana na mauzo ya views alionao. Sasa hao wanaokulipa watakubali vipi uweke views wa uwongo halafu wakulipe. Does this make sense?