Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Nyota wa muziki kutoka Bongo, Diamond Platnumz, amethibitisha ukubwa wake katika tasnia ya muziki baada ya kutajwa kama msanii aliyeongoza kutazamwa zaidi kwenye mtandao wa YouTube nchini Kenya kwa mwaka 2024.
Kwa jumla ya watazamaji milioni 125, Diamond amewashinda wasanii wengine maarufu akiwemo Harmonize 85.6M na Rayvanny - 83.4M, akionyesha wazi kuwa ni msanii anayependwa zaidi na kufuatiliwa na Wakenya kutokana na jitihada zake za kila siku katika muziki.
Pia, Soma: Spotify yatangaza ngoma na wasanii wa Tanzania waliosikilizwa zaidi mwaka 2024. Marioo ashika usukani!
Hii hapa ni orodha kamili ya wasanii waliotazamwa zaidi YouTube nchini Kenya mwaka 2024:
1. Diamond Platnumz – 125M
2. Harmonize – 85.6M
3. Rayvanny – 83.4M
4. Israel Mbonyi – 75.4M
5. Zuchu – 73.6M
6. Mbosso – 56.1M
7. Guardian Angel – 55.5M
8. Jaymelody – 53.8M
9. Msanii Music Group – 47.4M
10. Ayra Starr – 46.9M
11. Alikiba – 46.7M
12. Otile Brown – 46.6M

nimelia sana mkuu