Diamond Platnumz:Naogopa kuanguka na naiogopa kesho

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
Diamond platnumz akihojiwa na @ntvkenya alisema kama ifuatavyo.

Na aliendelea kusema:

Ahsante@ntvkena interview.
 
Sio sahihi japo alikiri kwamba angekuwa mdogo angesoma sababu sasa hivi yeye chibu anahitaji sana watu wenye elimu ku run bishara yake
 
I like the way he was humble, handled pressure from university of Nairobi peers on auditorium. Akina Zari,Salaam na Babu tale wameonesha kazi yao kwa chibu
 
Reactions: BAK
"I am a platinum" jamani hizi lugha za watu kama hatuziwezi tutafute hata wa kutupiga msasa.
 
Sio sahihi japo alikiri kwamba angekuwa mdogo angesoma sababu sasa hivi yeye chibu anahitaji sana watu wenye elimu ku run bishara yake

Akili mbovu za diamond ..mbona mark wa fb ka graduate juzi..sasa fb na wcb nini zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…