Diamond Platnumz ni Msanii mkubwa duniani, BASATA pamoja TASUBA kuna haja ya kumpongeza kwa jitihada zake za kukuza lugha ya Kiswahili

Diamond Platnumz ni Msanii mkubwa duniani, BASATA pamoja TASUBA kuna haja ya kumpongeza kwa jitihada zake za kukuza lugha ya Kiswahili

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Diamond Platnumz ni Msanii mkubwa duniani, BASATA pamoja TASUBA kuna haja ya kumpongeza kwa jitihada zake za kukuza lugha ya Kiswahili

Diamond ni kijana wa Tanzania mwenye kiu ya kufikisha mbali Muziki wa Tanzania kuna ulazima wa kila mtanzania kuunga mkono jitihada zake za kukuza muziki wa Tanzania (Bongo Flava)

Bongo Flava imetoka mbali ilipo sipo inatakiwa kufika mbali zaidi na watakaosaidia kusogeza muziki huu ni wasanii muhimu kama kijana wetu Diamond Platnumz

Binafsi nafurahishwa sana na kazi zake nzuri na kama ningekuwa raisi wa Tanzania na Serikali kwa ujumla basi ningemshika mkono afike mbali zaidi ya hapa alipo sasa. Nawashauri Serikali ya Tanzania mshikeni mkono kijana wenu hii ni lulu ya Taifa tuthamini uwepo wake

View: https://youtu.be/RpZRtX2mQdc?si=1k1fMREfg5tB-Pf5
 
Back
Top Bottom