Diamond Platnumz: Nimenunua hoteli Mikocheni na gari ya ndoto yangu Rolls Royce

Ww ukizeeka lazima uwe mchawi si kwa chuki hiyo kwa mtoto wa mwingine
 
Moja ya watu ambao walinifanya niipende jamii forums ni ww ndugu ila sijui kama hii leo ni ww au mana nimeshazoea madini kutoka kwako na sio ubishani usio na fact kama unavyofanya kwa huyo jamaa ndugu chige huwa naamini uwezo wako sema ndio hivyo tena ushabiki tu
 
Ungefutilia tangia mwanzo, ungegundua kisa cha jamaa kuanza maneno machafu ni kwavile tu nimemuuliza "how come mtu mwenye 45% unasema ana-fake!!
 
Kamsilimisha bint halafu kamwacha? Huyu si yupo karibu na Shekh wa mkoa wa Dar? Niishie hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
rukaruka but sikuachi leo mpaka unijibu swali langu...huyo mwanaume unayemsifia ashakuoa tayari???...maana tangu aachane na tanasha bado hatujamsikia demu wake mpya..huyo demu wake mpya ndo wewe???
 
Nimeona ila sikufikilia kama mtafikia huku kwa sababu huwa naamini uwezo wako wa kufikiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…