Diamond platnumz, Rich Mavoko, Rayvanny, Harmonize live in Dar

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Naona Team nzima ya WCB imeamua kuja kufanya kitu cha tofauti hapa nchini katika Soko la Mziki! Nikipimia wingi wa mashabiki walio nao na wanavyokubarika naona hii inakuja kuwa zaidi ya Fiestaaa!!!

Ni mkesha wa X-Mass,tarehe 24/12/2016 vijana hao wanne wataliteka jiji la Dar na kumwaga burudani ya kufa mtuuuuuu!!! Bado haijajulikana wapi itafanyikia hapa dar na kiingilio kitakuwa shilingi ngapi ila vijana watakiwasha mbayaaaaaa!!! Hope tutaona Team nzima ya WCB ikifanya yao

Je ungeshauri kiingilio kiwe sh.ngapi na wapi ifaanyike?

Kwa kuwa uwanja wa Taifa haujaingiza mapato kwa mda mrefu toka simba na yanga zifungiwe kuutumia mimi ningeshauri hawa vijana wachukue Uwanja wa Taifa wautumie na kiingilio iwe 50000/= atleast uwanja unaweza tosha

Namba hazidanganyi tuanze kuandaa pesaa a.k.a Marundo ya siku hiyo! Je show ifanyike wapi?
 
watu wanapanga kuingiza hela... mwingine anapanga kutumia!!!! haya tusubiri
 
Jamaa hebu punguza hiko kiingilio aisee,huu usawa wa Magu kama watatumia sehemu yenye kuingiza watu wengi basi wafanye kati ya 10,000 - 20,000, labda kama wanatumia sehemu zile za watu special hiyo bei sawa.
 
Mnahangaika uwanja wapi wakati ataenda kwa baba huko kwetu chalinze alipo kwenda kupumzika huko baada ya safari ya miaka10 ya kula bath.
 
Mi Nitakuwa Natathim Mipango Yangu Kwa Mwaka 2016

Kipi Nimekifanya Kikafanikiwa kipi Sijakifanya Nijipange vzr 2017
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…