Diamond Platnumz (Simba) anaweza kuziba pengo la Kanumba kwenye tasinia ya uigizaji?

Diamond Platnumz (Simba) anaweza kuziba pengo la Kanumba kwenye tasinia ya uigizaji?

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Wakuu tangu Kanumba atoweke tasnia uigizaji nchini imekua haifuatiliwi sana watanzania waliowengi.

Hivi bwana Simba hawezi kuziba pengo la Kanumba kweli?

Nyimbo nyingi za Simba zimekua zikianza kama movie fulani hivi.

Angalia wimbo wake wa Zuena na wimbo wa Yatapita.

Wakuu comment ziwe fupifupi
 
Huyo Diamond ndio nani huko Daslam?
Naona umewasilisha uzi wako kama vile wote tunamjua,ongeza maelezo.
 
unafikiri kuigiza ni kukojoa kila mtu yoyote tu anaweza?
 
Back
Top Bottom