Diamond platnumz the Best - Shikamoo

Alikiba anazo zaidi ya hio sema hapendi kujionyesha
 
Ali kiba pia ana shows nyingi sana ila hajionyeshi
Asipojionyesha anaotaka kuwapigia shooooooo watajuwaje? Uwongo mwingine bana... Halafu huyu katangaza show zake ili watu huko wajipange na ratiba zao..
 
Kwa Afrika Ali Kiba ndio anayelipwa pesa nyingi kuliko msanii mwingine yoyote yule. Kwahiyo inabidi apunguze bei kama Diamond ili apate shoo
 
mbona kingi kuba hizo anafanya sana ila hapendi show ofu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…