Diamond Platnumz – the next Bill Gates?

Diamond Platnumz – the next Bill Gates?

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Posts
16,952
Reaction score
10,500
1627648565817.png

Diamond Platinumz had just taken delivery of a brand new Rolls Royce when I spoke to him – it’s a blue Cullinan, latest model.

It’s the first of its kind in Tanzania and when Diamond took it on its maiden voyage you can imagine the reaction.

“To me it’s not just my car, it’s our car. Whoever has supported me, let’s celebrate our achievement,” he said.

Diamond was beaten at the recent BET awards in the US by Burna Boy, but it was the Tanzanian artist's picture that was all over because of his Maasai traditional outfit.

In the US he was also recording a new album whose executive producer is American and features American artists.

He posted pictures on his social media of himself with Busta Rhymes, Swizz Beats and Diddy, amongst others.

Not everyone was supportive of Diamond’s US trip. Some of his countrymen said he didn’t deserve the BET nomination because of his unapologetic support of Tanzania’s Covid-denying former President John Magufuli. But Diamond is not fazed by his critics and says he "doesn't take it personally".

Diamond was asked to stand as a member of parliament but he says "it's not his thing".

So where does Diamond see himself in 10 years’ time?

“I always wanted to prove a point to the African youth that you can use music in a very positive way, using music to employ more people, and becoming one of the richest people in the world - like Jeff Bezos or Bill Gates,” he said.

So will Diamond be flying into space? Or spending his money on causes he believes in? Will he be Jeff Bezos or Bill Gates?

“Neither of them. Better than them!”

“I don’t see myself flying to the moon because I am scared of flying. I’ll be empowering the youth. What makes me happy is when I hear someone say it’s because of Diamond that I am here today,” he said.
 
Bill gate wa kununua migari ya gharama kiasi hicho?

Matajiri wenye asili ya kizungu ukiacha waarabu hawana ulimbukeni wa kununua magari kwa bei za misifa kiasi hicho.Google uone bill gate anatumia gari gani.Ukichaa wa kununua migari ya bei kubwa wanao wakina Mayweather,50 cent,Birdman n.k wote wenye asili ya black ndo hufanya hivyo kwa sababu wamepata utajiri kwa kutunukiwa na Mungu vipaji.Ila utajiri wa wazungu wengi unatokana na matumizi ya akili na uvumbuzi
 
Investment, investment & investment.

hata DIAMOND amefika hapo sio kwa kutunikiwa ni AKILI JUHUDI na MAARIFA. hawawezi kufanan kila kitu lkn ameonyesha nia ya kuweka record katika maisha yake.
 
Bill gate wa kununua migari ya gharama kiasi hicho?
Matajiri wenye asili ya kizungu ukiacha waarabu hawana ulimbukeni wa kununua magari kwa bei za misifa kiasi hicho.Google uone bill gate anatumia gari gani.Ukichaa wa kununua migari ya bei kubwa wanao wakina Mayweather,50 cent,Birdman n.k wote wenye asili ya black ndo hufanya hivyo kwa sababu wamepata utajiri kwa kutunukiwa na Mungu vipaji.Ila utajiri wa wazungu wengi unatokana na matumizi ya akili na uvumbuzi
Hata vaa yao ya kawaida tu, nakumbuka mwaka jana watu walikua wana hoji kwanini mark zackberg anavaa tshirt ya aina moja kila siku

Watu walitegemea kwasababu jamaa ni bilionea basi atavaa mi gold suti ya kiwango cha huu cha mwisho lakini jamaa laiwakumbusha kua lengo sio kuonekana tajiri lengo ni kua tajiri
 
Upo sahihi Ila wanafanya hvyo kulingana na nafas walizo nazo , yaan kujiongezea thaman , sababu maisha ya Sanaa huwa ni mafupi ....!!
 
Hata vaa yao ya kawaida tu, nakumbuka mwaka jana watu walikua wana hoji kwanini mark zackberg anavaa tshirt ya aina moja kila siku

Watu walitegemea kwasababu jamaa ni bilionea basi atavaa mi gold suti ya kiwango cha huu cha mwisho lakini jamaa laiwakumbusha kua lengo sio kuonekana tajiri lengo ni kua tajiri
Hebu na wewe jiongeze ubongo kidogo kah! MONDI ni MSANII mwanamuziki lazima awe smart sasa wewe kwa uzombi wako ulitaka avae anavovaa billGATE ivi wewe ni mzima kweli?
 
Badilisha hapo kichwa cha habari kiwe; DIAMOND - THE NEXT ZARI THE BOSSLADY😂😂😂😂😂😂
maana wote wana ulimbukeni wa magari acha kumlinganisha akili kubwa Bill Gates na hii mbuzi.
msiomuelewa MONDI mtapata tabu sanaaaaaa
 
JF imeharibika sana wiki hii itakuwa mara ya mwisho kutumia huu mtandao... ngoja tuwaachie watoto. miaka 13 JF inatosha
 
Hata vaa yao ya kawaida tu, nakumbuka mwaka jana watu walikua wana hoji kwanini mark zackberg anavaa tshirt ya aina moja kila siku

Watu walitegemea kwasababu jamaa ni bilionea basi atavaa mi gold suti ya kiwango cha huu cha mwisho lakini jamaa laiwakumbusha kua lengo sio kuonekana tajiri lengo ni kua tajiri
Utajiri wa talent na utajiri wa investment ni tofauti kabisa utajiri mmoja wapo unaambatana na ukichaa kwa sababu ubongo haukitegemea kuwa na hela.We ulimuona wapi Bill gate avae ma cheni makubwa kama mbwa,aweke ma meno kama ngili eti platinum
 
Back
Top Bottom