Diamond Platnumz – the next Bill Gates?

Utajiri wa talent na utajiri wa investment ni tofauti kabisa utajiri mmoja wapo unaambatana na ukichaa kwa sababu ubongo haukitegemea kuwa na hela.We ulimuona wapi Bill gate avae ma cheni makubwa kama mbwa,aweke ma meno kama ngili eti platinum
Kuna siku niliona clip ya ryvan ameweka vi gold kwenye meno, basi video mpaka inaisha mchizi hajafumba mdomo anajichekesha tu mwanzo mwisho ili mradi yaonekane
 
Hebu na wewe jiongeze ubongo kidogo kah! MONDI ni MSANII mwanamuziki lazima awe smart sasa wewe kwa uzombi wako ulitaka avae anavovaa billGATE ivi wewe ni mzima kweli?
Unasoma darasa la ngapi kwani
 
msiomuelewa MONDI mtapata tabu sanaaaaaa
Huyu kadanganywa na Mange Kimambi kua akinunua na kuonekana na magari ya mamtoni ndio Forbes watamtambua na kumuweka kwenye list yao. Forbes wana vigezo vingi wanaangalia mambo mengi ,na magari wala sio kivile; ni fuba lako in dollars na investments zako huko majuu kwa kina JP Morgan etc. Ajitahidi lakini kwa Bill Gates ni kama kulinganisha mlima na kichuguu. Alinganishwe tu kwanza na Zari The bosslady.
 
Hakuna msanii yoyote duniani awe mwanamichezo, muigizaji, mwanamuziki nk mwenye hata asilimia 10 ya utajiri wa bill gates
 
Ndugu mwandishi umemaanisha nini...?
Naona Bill gates na msanii wetu Diamond kunawimbo wanataka kutoa.🤔🤔
 
Acha fix mzee, Bill Gate ana magari zaidi ya 50 na yote yana bei mbaya ambayo hata gari moja la Diamond halifikii bei.
Uwe unagoogle kidogo kumjua bill gates dogo.
 
Na gari za Bill Gate ni limited edition tu, yani ambazo zinatengenezwa mfano 50 na zikiuzwa zikiisha ndio nitolee hiyo.
 
Bila watu wapuuzi kama nyie leo bangi ingekuwa halali tunaivuta tu mitaani
 
Hata jay z na dr dre katu hawawalinganishi na akina billgates maana wale wana ligi yao wenyewe
 

Bill na diamond ni mbingu na ardhi , Gates ana magari , ndege na meli za ghali na anasa sana , nyumba yake yenyewe ni habari nyingine. Acha kupotosha pitia tena google kwa usahihi
 
nyie ndio mnaomfanya magodoro aka sadala achukiwe saa hizi

kijinga jinga anaachwa
 
Badilisha hapo kichwa cha habari kiwe; DIAMOND - THE NEXT ZARI THE BOSSLADY😂😂😂😂😂😂
maana wote wana ulimbukeni wa magari acha kumlinganisha akili kubwa Bill Gates na hii mbuzi.
kama kina MONDI ni mbuzi sipati picha wewe utakuwa ni kidubwarika gani walai 😂 👹👉👹👹
 
Huyo mashudu ya alizeti hamna kitu. Ali kiba ana hela sema hapendagi show off tu ni level za Bezos na Elon
 
Huyu jamaa ni jamii ya wale utakuta kanyoa kiduku kina virasta ivi, kavaa kisuruali na kitishirt vimebana tena kavalia chini ya makalio, amevaa licheni likubwaa na mipete vidoleni najaribu kumzoom kwenye lensi 🤣🤣
 
Hivi mtu akinunua gari ya gharama inamuongezea kipato au inamfilisi?
Watu weusi tuko shallow sana kwenye elimu ya uwekezaji ndio maana hatufiki mbali

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 

Hey jamaa sio kwamba hawavai gharama hebu cheki nguo wanazovaa kisha naenda pale Mliman city kaulizie bei.
Kwao wanachokifanya ni nguo ya aina fulani wanakua nazo nyingi wewe utahisi anarudia ila ukweli anakua nazo nyingi ndio wazungu wanafanya, pia wakiwa nchini mwao haswa maofisini wanatupia sana inafaa kujua alikua kwenye matembezi au ofisini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…