Diamond Platnumz"Too Busy..... Paper chasin Wit Her . #Money'z Evrytin"

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
35,771
Reaction score
4,065

Diamond Amepost picha hii Akiwa na Penny na kuandika Maneno haya: Too Busy..... Paper chasin Wit Her . #Money'z Evrytin"
Na hapa Akiwa na New baby mama Wake wakiwa Dinner.....kwenye hii Picha aliandika hivi:
#ssssshhhh.... #somewheredinnerwithHER #udotheguessing
 
vunja mifupa dogo wakati meno ingalipo-lakini kumbuka kuweka akiba usije kuujutia ujana!!!
 
Mkumbuke, sasa, Muumba wako Mkuu katika siku za ujana wako, kabla siku zenye msiba hazijaja, au miaka iwe imefika wakati utasema: "Sipendezwi nayo"; [SUP]2[/SUP] kabla jua na nuru na mwezi na nyota havijawa na giza, na mawingu yamerudi, kisha mvua kubwa; [SUP]3[/SUP] katika siku ambayo watunzaji wa nyumba wanatetemeka, nao wanaume wenye nguvu wameinama, na wanawake wanaosaga wameacha kufanya kazi kwa sababu wamekuwa wachache, na mabibi wanaochungulia madirishani wameona giza; [SUP]4[/SUP] na milango inayoelekea barabarani imefungwa, wakati sauti ya jiwe la kusaga inaposhuka,+ naye mtu huamshwa na sauti ya ndege, na mabinti wote wa wimbo hutoa sauti ya chini.
 
Anajua kuwapiga ngoz malaya hao na anavyojua kuchagua, but ukumbuke huu msemo hauta wamaliza bal watakumaliza hawaish hao

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Yule muwakilishi wa diamond humu jf yuko wapi leo?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…