Mwaka 2010 CCM walimtumia msanii MALLOW mzee wa bembeleza aliyekuwa hot kwa wakati huo kwenye kampeni za uchaguzi,baada ya uchaguzi jamaa kapotea kabisa kwenye game kwa sababu watz 70% chama hiki wamekichoka..ni ushauri tu
Ukinitajia Q Chief najisikia kulia...Jamaa kapotea kiajabu sana....
He was so social...yani ile ukimkuta kitaa unaweza bisha sio msanii mkubwa vile...ila ndo hivyo mijimama na ngada zikampoteza....