Diamond Platnumz unakosa heshima kwa Ruge, umemtaja Kusaga pekee

Wachawi hamna mana
 
Hajamtaja labda sababu alishatangulia (RIP Ruge). Raha ya kutajwa anayetajwa asikie...
 
Ulitaka ampaishe marehemu...?
Labda tusubiri wimbo mpya waπŸ‘‘πŸ‘‘
πŸšΆπŸšΆπŸšΆπŸ‘£
 
pale aliposema Joseph Kusaga, angemaliza tu na Ruge Mutahaba angekata mzizi wa fitina ingekaapoa sana.
Labda hatambui mchango wake... Maana mimi na wewe hatuna hakika ama alimsaidia au alikuwa akimsaidia kwa kutimiza kazi yake aliyoagizwa na Kusaga. Mfano unakumbuka Zari White party iliyofanyika Mlimani city watu wakasema ni ya clouds wanamtumia tu zari na diamond kwa kuwapa pesa kidogo, Salam alikuja funguka ile waliandaa wakaenda kwa kusaga kusaga akasema he cannot afford their budget walete wadhamini clouds itachukua kitengo cha kuisimamia kila kitu.. Salam akatafuta wadhamini, wakala mpunga miezi miwilikabla ya party, kusaga aawakabidhi Ruge afanye kazi na salam kuhakikisha kitu kinafanyika. Watu wakasema ya Ruge.

Kwahiyo huwezi kujua ukweli wa mambo kitaani kuna mastory mengi. Mfano kwasasa unaona kampuni ya akina Tbway inashusha wasanii toka Nigeria Clouds inasimamia mambo, ingekuwa zamani watu wangedhani ni wasanii wameshushwa na clouds.

In short kama hakumkumbuka basi labda kwa upande wake huenda anaona hakumsaidia.
 
Kusaga ndio ameonganisha Ile kolabo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mmeanza story zenu za kwenye kahawa sasa
Inawezekana ukawa ujui ngoja nikwambie

Meneja wa koffi east Africa ni kusaga
Na kama ulikuwepo kwenye show ya koffi pale mliman city hope unakumbuka koffi alisema nn
 
Inawezekana ukawa ujui ngoja nikwambie

Meneja wa koffi east Africa ni kusaga
Na kama ulikuwepo kwenye show ya koffi pale mliman city hope unakumbuka koffi alisema nn
Hata meneja angekuwa nani,HAYUPO MSANII WA AFRICA ANAYEWEZA KUMKATALIA COLLABO DIAMOND,kwani CV ya Diamond inajielezea yenyewe.
 
Hivi una habari huyo Ruge alishawahi kumtimua Diamond pale THT kwa madai hajui kuimba?!

Mtafute Mwasiti Almasi akupe hicho kisa!!!

In short, Ruge alianza kujiweka kwa Diamond baada ya kuona ameshakuwa hot cake na "anauza"!!! Baada ya kutoa "Nenda Kamwambie", akaja Mbagala na kisha Nitarejea, Mond akawa hashikiki tena, na CCM Tour mwaka 2010 ikampa wide coverage kote Tanzania!!!

Hapa Ruge alikuwa na option 2 TU: Apambane na "nyota" ambayo watu wameshindwa kupambana nayo hasa baada ya kutabiriwa kupotea since 2011 lakini bado yupo tu, na option ya pili kwa Ruge ilikuwa ni kukubali kuungana na nyota!!!

Ruge akachukua second option!!
 
Hata meneja angekuwa nani,HAYUPO MSANII WA AFRICA ANAYEWEZA KUMKATALIA COLLABO DIAMOND,kwani CV ya Diamond inajielezea yenyewe.
Sasa huo ni ushabiki wa utoto huko kwenu Facebook I'm sure utakuwa under 25yrs old

Hapa ni jf sio Facebook so acha kuleta ubishi wako ambao hauna fact

Kwa akili yako unataka kusema koffi anamwitaji Sana diamond kuliko diamond anavyomwita koffi?
Au unataka kusemaje mafanikio ya koffi ni sawa na mafanikio ya diamond?
 
Wewe kama unabisha bisha ila kwa CV na Projects alizofanya Diamond hamna msanii mwenye uwezo wakumkatalia Diamond hayupo,vyombo vyote vya burudani Africa vikilist wasanii wakubwa Africa, Diamond lazima aingie tano bora.

Alafu nina mwaka nne facebook na insta sizijui zinafanaje labda kama unajiongelea ww.

Alafu ukiwa above 25 ndio unaongea ukweli?
 
Inawezekana ukawa ujui ngoja nikwambie

Meneja wa koffi east Africa ni kusaga
Na kama ulikuwepo kwenye show ya koffi pale mliman city hope unakumbuka koffi alisema nn
Lakini aliulizwa diamond kwenye interview yake akiwa na koffi akadai management yake (Salam )ndo imehusika kwa kila kitu, na koffie mwenyewe alithibitisha. Hizo tabia za kujiongeza kwenye kila kitu uache mkuuπŸ˜‚πŸ˜‚.

Kwamba koffie hawezi kufanya collabo na mond mpka KUSAGA aruhusu auπŸ€”?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…