Diamond Platnumz unakosa heshima kwa Ruge, umemtaja Kusaga pekee

Kwenye show ya koffi mliman city alisema yy mwenyewe kuwa kwa east Africa meneja Wake ni kusaga na kama mtu anamwitaji yy Kuja east Africa lazima acontact na kusaga
 
Kwenye show ya koffi mliman city alisema yy mwenyewe kuwa kwa east Africa meneja Wake ni kusaga na kama mtu anamwitaji yy Kuja east Africa lazima acontact na kusaga
Basi ndohivyo Salam(meneja wa mond) ndie aliehusika juu ya swala la koffi kuja bongo.
 
Jamaa hp4510 anakwambia koffi ameletwa na kusaga๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Wapi nimesema kusaga kamleta
Nimesema koffi alisema kwa Africa mashariki yy meneja Wake ni kusaga na kama mtu yoyote atamwitaji lazima acontact na kusaga

Sasa no matter Nani kamleta ila huyo alie mleta ni lazima aliwasiliana na kusaga coz ndio meneja wa koffi east Africa

Ni kama ww ukitaka kumpata diamond ni lazima utawasiliana na wakina salaaam na babu tale hata kama nauli na kila kitu utatoa ww
 
Halafu sijui kwa nini anamuita uncle wakati anajifunika shuka moja na mama yake
Hahaa kimjini mjini iyo chief..wazee wakuwasabahi masingo mama watanielewa mara nyingi utakuta mtoto anaambiwa muamkie anko sasa ile anko anko kila siku jina linashika
 
acha kupangia watu maisha wewe
 
ulitaka aseme "ruge mutahaba,jipepee" na ni marehem au sio!?..๐Ÿ˜
salaaale!...๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ