Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Basi amle mwenyewe,ila hata afanyeje ataliwa tu!Mwanamuziki Diamond amesema angependa mwanae Nillan awe msanii ila hatapenda mwanae Tiffa awe msanii kwa kuwa wasanii wa kike wamekuwa wakiliwa sana
Amesema pia yeye amepita na wanawake wengi sana kutokana na status aliyonayo ila kwa sasa ametulia na Zari na anampenda kwa kuwa anajua maisha
Wamefunga ndoa liniMkewe nae si msaniii kwa hyo wanambimolea kinyama ha ha ha msaniiiiiii
Sheria za bongo ni mkewe haijalish kafunga ndoa au lah miez sita tu imetosha,na hajawah kusema sio mkewe kwenye mahojiano popote mara nying hua anasema mke wnguWamefunga ndoa lini
Katika kila Kani mkabala kuna Kani mrejeo iliyosawa na kinyumeKarma ipo
Sory mkuu sijaelewa wanaliwaje [emoji134]Mwanamuziki Diamond amesema angependa mwanae Nillan awe msanii ila hatapenda mwanae Tiffa awe msanii kwa kuwa wasanii wa kike wamekuwa wakiliwa sana
Amesema pia yeye amepita na wanawake wengi sana kutokana na status aliyonayo ila kwa sasa ametulia na Zari na anampenda kwa kuwa anajua maisha