Wengi hawajaelewa alichoelezea wameishia kwenye kuliwa tu. Japo sidhan kama ilikuw na sabb sana ya kuongea hivyo. Ila alichoelezea ni kwamba 'mtoto wa kike anapokuwa msanii anajijengea nafasi ya kujulikana na watu wengi zaid na kumwekea nafasi ya kutongozwa zaid; hyo inaongeza uwezekano wa kuwakubalia wengi zaid pia, mfano: Mwanamke akitongozwa vizur na wanaume kumi, kama anamsimamo ana uwezekano wa kuwakubalia wawili hata kama mmoja atakuw na kipaumbele zaid, ss ukipiga picha kama atatongozwa na watu mia 100, idadi haitaweza kubaki 2
Nimejaribu kufafanua alichoongea Diamond japo sijui ni kutokana na hadhira aliyokuw anaongea nayo akajiachia hivyo ama vip,japo wenzetu wa Kenya wengi wameona ameongea sawa,ila wabongo na maadili yetu mengi ndo tumeona amezingua