Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Kumbuka shabiki zako wanaoku sapoti wengi wao ni masikini wa wakutupwa imefika mahali diamond vitu unavyovionesha kwa jamii haviwapendez mashabiki vinawaumiza hujui shabiki zako mtaani wanaishije lakini maisha yako kwa sasa yametawaliwa na starehe na anasa ni sawa hatukutazi lakini vitu vingine sio lazima huvifanye vionekane kwa jamii
wewe kila siku umekuwa ni mtu wakuhonga magari madem hutukukatazi lakini sio vizuri kila jambo lionekane kwa jamii hasa kupost mitandaoni unasababisha shabiki kukuchukia sio vizuri hali hii inawaumiz watu wengi
tayari media zimeshakususa nguvu unayopata zaidi ni ya mashabiki tu ogopa sana na isije ikatokea na mashabiki naowakususe bro badilika kwa hili