Diamond, Rayvanny na Zuchu wachaguliwa tuzo za heades

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
DIAMOND PLATNUMZ, RAYVANNY NA ZUCHU, Watanzania Pekee Kwenye Tuzo Za Heades. Diamond amechaguliwa Kwenye Vipengere Viwili Vya Msanii Bora Wa Mwaka Africa Na Kipengere Cha Msanii Bora Afrika Mashariki, Rayvanny Na Zuchu Wanapambania Kipengere Cha Msanii Bora Afrika Mashariki.

Hivyo hii Ina maanisha industry ya muziki East Africa......ipo chini ya miamba mitatu
Vannboy

Platinumz

Na lioness ( zuchu)

NB: nyimbo hizi za kina sumu, haziwezi penetrate internationally.

Mmakonde chaliii
1689691560342.jpg
 
DIAMOND PLATNUMZ, RAYVANNY NA ZUCHU, Watanzania Pekee Kwenye Tuzo Za Heades. Diamond amechaguliwa Kwenye Vipengere Viwili Vya Msanii Bora Wa Mwaka Africa Na Kipengere Cha Msanii Bora Afrika Mashariki, Rayvanny Na Zuchu Wanapambania Kipengere Cha Msanii Bora Afrika Mashariki.

Hivyo hii Ina maanisha industry ya muziki East Africa......ipo chini ya miamba mitatu
Vannboy

Platinumz

Na lioness ( zuchu)

NB: nyimbo hizi za kina sumu...... haziwezi penetrate internationally.......
Mmakonde chaliiiView attachment 2692167
Huu ndio ukweli mchungu akina mwafulani hawataki kuuona wala kuusikia.
 
Kila siku wanadai anashuka,lkn anaye mkaribia haonekani,basi atleast wa prove hata robo alicho kifanikisha bado hawawezi zaidi ya majungu na kuponda. Ukipanga rank kwenye kila platform jamaa kwa EA mashariki na kati bado anaongoza. Watu ambao niliona kidogo wanaweza kutoa upinzani Harmo na Marioo naona washakwama kwani mziki wao ni wa hapa hapa.
Screenshot_20230719_092230_Instagram~2.jpg
 
Kila siku wanadai anashuka,lkn anaye mkaribia haonekani,basi atleast wa prove hata robo alicho kifanikisha bado hawawezi zaidi ya majungu na kuponda. Ukipanga rank kwenye kila platform jamaa kwa EA mashariki na kati bado anaongoza. Watu ambao niliona kidogo wanaweza kutoa upinzani Harmo na Marioo naona washakwama kwani mziki wao ni wa hapa hapa.
View attachment 2692797
Kila mtu.....anatafuta kiki kwake[emoji23]
 
Back
Top Bottom