Huu ndio ukweli mchungu akina mwafulani hawataki kuuona wala kuusikia.DIAMOND PLATNUMZ, RAYVANNY NA ZUCHU, Watanzania Pekee Kwenye Tuzo Za Heades. Diamond amechaguliwa Kwenye Vipengere Viwili Vya Msanii Bora Wa Mwaka Africa Na Kipengere Cha Msanii Bora Afrika Mashariki, Rayvanny Na Zuchu Wanapambania Kipengere Cha Msanii Bora Afrika Mashariki.
Hivyo hii Ina maanisha industry ya muziki East Africa......ipo chini ya miamba mitatu
Vannboy
Platinumz
Na lioness ( zuchu)
NB: nyimbo hizi za kina sumu...... haziwezi penetrate internationally.......
Mmakonde chaliiiView attachment 2692167
Weeeeee usiniambie!Kimataifa bado hajatoboa
Kila mtu.....anatafuta kiki kwake[emoji23]Kila siku wanadai anashuka,lkn anaye mkaribia haonekani,basi atleast wa prove hata robo alicho kifanikisha bado hawawezi zaidi ya majungu na kuponda. Ukipanga rank kwenye kila platform jamaa kwa EA mashariki na kati bado anaongoza. Watu ambao niliona kidogo wanaweza kutoa upinzani Harmo na Marioo naona washakwama kwani mziki wao ni wa hapa hapa.
View attachment 2692797