Duh! Ndo mnataka mambo yasimameYaani kwa taharuki aliyokuwepo bado unapata nguvu ya kuleta taarifa kama hizi???
Haya mambo huu muda si wakati wake tafadhaliWasanii kutoka Tanzania washinda tuzo ya east entertainment awards USA ambapo hizo tuzo zilifanyika USA.Msanii wa kimataifa kutoka Tanzania diamond platnumz alishinda katika kipengele Cha best collaboration ft (baila),rayvanny na nandy wameshinda kwenye kipengele Cha best male/female east and north south huku mtangaziaji wa Times fm lil ommy ameshinda katika kipengele Cha best host.
Ongereni wasanii wetu kwa kupeperusha vizuri bendera ya Tanzania maana huku kwenye bongo movie wanatuangusha
Clouds nao wana tuzo ?Hongera wcb hongera times fm hongera clouds media
Unapata hela na exposure zaidi cos kwenye tuzo hizi zinawakutanisha wasanii wakubwa wa Africa na nje ya bara la Africa lakini pia inakupa CV nzuri msanii.kwenye tuzo Kama hizi ziliweza kumkutanisha diamond na kundi maarufu na lenye kufanya vizuri mortan heritage sijui jina nitakuwa nimelipatia? Kutoka jamaica tokea hapo kukatokea collaboration Kali na ya kufungia mwaka HALELLUYA.hivi hizo tuzo wanazopewa daily kama njugu huwa zina manufaa yoyote?