Diamond Rudi Shuleni,Ally Kiba Ni KING Kakuzidi sana

unafahamu vizuri na kuyaelewa mambo pale chuoni kwenu lakini kila siku sup unakunywa hadi kufikia hatua ya kutaka ku disco....

huko kijijini kwenu watakuelewaje?
Sijakuelewa.
 
Hii nchi ina tatizo gani lkn!? Tumefikia hatua ya kunywa viroba asubuhi badala ya chai!? vipi kuna asiyeamini hili.....soma tena title ya thread utajua mtoa mada anakunywa nn asubuhi
 

Kama huo wimbo umeuelewa basi wewe utakua na shida sio bure...kiba si wa kutoa nyimbo mbovu hivyo...hata sijui aliwaza nini?...dah nishakata tamaa!..kweli simpendi domo ila kiba anatuangusha sana...
 
Nyimbo ya kawaida sana... The thing is nyie ma fans mahaba niue wa huyu Kiba mnapenda ku over hype mambo. Kwanza honestly Kiba is slightly overrated na despite kua na sauti nzuri sio mbunifu na anajaribu sana kustay relevant.
Just stay Away from this guy's nutts.
 
Kichwa cha Uzi hakiendani na kiwiliwili chake,,,mi nilijua Dia kakosea sehemu kwahyo akaongeze elimu arekebishe makosa
 
Kwahiyo unaifanyia Promo iyo ngoma ya Kiba?
 
Alafu Mskuma anasema Bangi ihalalishwe?Kuna watu ni Bangi Tosha!!

Diamond atabaki kuwa Simba na Ali Kiba atabaki kuwa Tembo
 
hizi competition za nini jamani????? diamond akishuka chini iweje labda?? kila mmoja anafanya muziki kwa jinsi alivyojaliwa kipaji ili kuburudisha watu na kupata hela. huu wivu wa kijinga sijui unatoka wapi.
 
hizi competition za nini jamani????? diamond akishuka chini iweje labda?? kila mmoja anafanya muziki kwa jinsi alivyojaliwa kipaji ili kuburudisha watu na kupata hela. huu wivu wa kijinga sijui unatoka wapi.
Kwanza hata hawajui wanawashindanishia nini,kweli hili ni bifu la kutengenezwa halafu watu wamedandia tu.
 
Mkuu umeonyesha uwezo mkubwa wa tafakuri
Huwa najiuliza sana juu ya hawa wenye mahaba kwa kiba kuliko kidoti! Hivi wanapomlinganisha na Diamond huwa wanatumia vigezo gani?
Tuzo za kimataifa?
Mziki kupigwa nchi nyingi?
Umaarufu nje na ndani ya Africa?
Kupiga show nyingi?
Kumiliki pesa nyingi?
Mziki kusikilizwa sana?
Kutawala media?
Au wanalinganisha nini mpaka wajidhalilishe hivi! Maana msanii mkubwa wa karne hii lazima awe na vigezo hivyo zaidi ya hapo rabda awe anawaimbia tembo
 
Yooote haya ni kumuonea WIVU DIAMOND PLATINUM! Endelea kujidanganya bros, Diamond uko level nyingine!
 
Ukawa, Kiba mbona vitu unavyoshabikia huwa havishindi?
 
bradha...
unafaa kuwa mwandishi wa GAZETI...
si mchezo..!
 
Nimefurahi sana tangazo la voda limewekwa kwenye ads za Youtube, hahahahahaha sipati picha team matusi anapokutana nayo afu zile sekunde tano anaweza akaona kama mwezi hivii hahahaha

Vodacom wababe sana hahahaha
ndugu yangu...
hata mimi hiyo kitu imeniudhi sana bradha...
yaan walichokifanya vodacom na youtube ni UBABE uliotukuka...
yaan sio vizuri kabisa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…